Search results

  1. J

    Sekretariati ya ajira (psrs: uhalisia wa ajira Tanzania

    Mr Xavier Daudi, Sekretariat ya Ajira (PSRS), hivi kweli katika zama hizi za ukosefu wa ajira Tanzania inawezekana vipi mtu moja pekee atimize vigezo vya kuitwa kwenye usaili wa nafasi ya ASSISTANT LECTURER (WILDLIFE)? Hii nchi nimenyanyua mikono. Nashauri kila mtu TZ sasa aelewe na atambue...
  2. J

    Tundu Lissu kuiondoa CCM 2020

    Ushauri kwa wapenda mabadiliko wote Tz na hasa kwa namna ya pekee chadema, ukawa, vyama vya ccm B na mwisho kabisa kwa umuhimu baadhi ya watu ndani ya ccm Watz wengi ni hawajui jinsi nchi inavyoendeshwa zaidi wanaelewa taratibu sana (slow learners, kwa mfano uchaguzi wa 2015 ilikuwa vigumu kwa...
  3. J

    Mpaka sasa Rais Magufuli kashafanya teuzi zaidi ya 550, tunahitaji mabadiliko ya kimfumo

    Rais Magufuli mpaka leo ameshafikisha ajira ngapi? Kwa kumbukumbu zangu za haraka: Mawaziri 30+makatibu 40+RC 26+DC 139+DAS 139+DED 185+mabalozi+mashirika+idara +etc etc = over 550 people, Marekani rais wao ana uwezo wakuteua bila idhini ya senate only 163 people. Mwisho wa siku hii hali...
  4. J

    Magufuli: Hakuna haja ya hivi vyama vya siasa

    Anasema kinachohitajika ni maendeleo ya wananchi. Km kuna wengine bado wanategemea democracy Tz labda waombe wawepo baada ya miaka 200 ijayo. Vinginevyo tafuteni njia nyingine, inawezekana tuna laana au kuna makosa ya evolution kwa waafrika
  5. J

    Uhai wa chadema 2014

    Nimejaribu kusikiliza maelezo ya zito ktk video ya tuhuma dhidi yake na ambayo ipo hapa jamvini, nimegundua yafuatayo: [*=1]CHADEMA kuna tatizo la mifumo sawa na matatizo ya mifumo tuliyonayo ktk taifa letu [*=1]Zitto anautumia vizuri udhaifu huo wa mifumo kwa sababu zake binafsi ambazo nadhani...
Back
Top Bottom