Search results

  1. mfungua mafundo

    Vituko vya Maisha ya Boarding, Tukumbushane Tuliosoma Huko

    Yaani huwezi ukawa umesoma songea boys usiwe umechunga ng'ombe, bila kusahau "School shadoof solved the problem"
  2. mfungua mafundo

    Vituko vya Maisha ya Boarding, Tukumbushane Tuliosoma Huko

    acha kabisa, maisha ya box 2. Maps mzee wa chemistry advance ukiuliza swali anakujibu, "unataka kupata degree hapa hapa?" Kulikuwa na walimu Mtaleban, Okeynow, chikeke, Carl peter, Deo Uji kama hauna vitafuna unasema "leo napuliza" Vitafunwa zaidi ilikuwa ni mihogo tukiita "mayao"
  3. mfungua mafundo

    Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar: Rais Mohamed Shein, awasamehe Wanafunzi 12 wa vyuo vya Mafunzo vya Unguja na Pemba

    Ikiwa wafungwa wanaitwa wanafunzi, na wale wanaosoma shule za kawaida wanaitwaje?
  4. mfungua mafundo

    Kamati Kuu ya CHADEMA kukutana kwa dharura siku ya Jumamosi

    Hivi chadema ina katibu mkuu??
  5. mfungua mafundo

    Kwa mwenye uelewa kuhusu nafasi ya Cardinal Pengo kwenye ukatoliki

    Kwa utaratibu wa ROMAN CATHOLIC CHURCHES, maamuzi yote au msimamo wa kanisa kitaifa unatoka kwenye baraza la maaskofu. Ambalo lina mwenyekiti wake kwa sasa anaitwa Ngalalekumtwa, ni askofu mkuu wa jimbo la iringa. Huyo pia huww kama ndo msemaji mkuu wa mambo ya kanisa katoliki kitaifa mambo...
  6. mfungua mafundo

    Kwanini Josephat Mwingira ana ulinzi wa kufuru?

    Jiulize kwanza kwa nini vatican city ina jeshi kabisa na kwa nini baba mtakatifu analindwa? Hao ni viongozi waasisi wa makanisa yao hivyo ni muhimu kujihakikishia usalama wao, kwani kuna tatizo gani wakilindwa ?
  7. mfungua mafundo

    Wananchi wamshauri Magufuli kuongoza vipindi vinne mfululizo

    Kuna makandokando mengine ya koromije nayo yanatakiwa yachukuliwe hatua
  8. mfungua mafundo

    Utaratibu wa kuhama chuo kuja MUHAS

    Ha ha ha ha ha minyonyo ya MUHAS
  9. mfungua mafundo

    Utaratibu wa kuhama chuo kuja MUHAS

    Kwa ushauri wangu kwako, nenda moja kwa moja MUHAS kaulize kama kuna huo uwezekano, ikiwa uwezekano wa kuhama upo, hao watakupa procedures za nini ufanye,
  10. mfungua mafundo

    Naomba msaada wa kilimo cha Azolla

    Ukitaka azola niambie na unijuze dau kabisa kuwa nitapata kiasi gani kwa kilo moja, maana mimi naweza kukupatia hadi magunia
  11. mfungua mafundo

    Mch Gwajima adai kutumiwa ujumbe wa kutishiwa kifo.

    Nakuona msukule wa lumumba unafanya kazi yako
  12. mfungua mafundo

    Songea boyz box 2 group la WhatsApp from 1950-2017

    Mayao Maisha ya box 2 yalikuwa safi sana.
  13. mfungua mafundo

    DPP Tupilia mbali kesi zote za madawa ya kulevya zilizotengezwa na RC na Kamanda Sirro

    Nyamaza kimya wewe umejaa hila n.a. uovu, mtu amefuatwa ofisini anatoroka kwa mlango wa nyuma, acheni uovu, huo ni ushetani n.a. hatutaki kuupa nafasi kwenye nchi yetu. Utakufa umaskini kwa kutegemea kupewa hela ili utetee uovu.
  14. mfungua mafundo

    Salamu za siku ya wanawake kutoka kwa RC Makonda

    Udhaifu wa kutokuwa n.a. vyeti ndo unakufanya ujifiche kwenye mwamvuli wa kujifanya una machungu n.a. waathirika wa madawa ya kulevya. Weka vyeti acha maneno
  15. mfungua mafundo

    Mzee Makamba: Mchungaji Gwajima anayo laana ya kumtukana Kardinali Pengo

    Ondoa mapovu hapa, onyesheni vyeti, mnapenda heshima ya woga wakati hata mheshimiwa Rais alisema utasikia mtu anaitwa mheshimiwa lakini kumbe ana vyeti feki, acha maneno weka vyeti mezani
  16. mfungua mafundo

    Mtu apimwe kwa utendaji siyo makaratasi

    Kasoma masters at kolomije university
Back
Top Bottom