Search results

  1. Christa

    Ugonjwa wa kuhara (Diarrhea): Tambua Chanzo chake na Matibabu

    Chukua Maj Ya Uvuguvugu Kikombe Kimoja,weka Sukar Kijiko Kimoja Na Chumvi Kijiko Kimoja,changanya Kunywa Chote.
  2. Christa

    Ovulation bila ute telezi

    Ni tatizo ambalo limempata ndugu yangu wa karb,nimekuja kwenu kutafuta ushaur
  3. Christa

    Ovulation bila ute telezi

    Naomba tumsaidie dada angu, ana mtoto mmoja wa miaka 11 ni mwaka umepita tangu aanze kutafuta mimba, alienda hospitali akasafishwa mirija ya uzazi na kupewa dawa (clomiphene). Baada ya kutumia dawa hizi haoni ute telezi kwenye siku za ovulation. Je anaweza kupata mimba katika hal hiyo...
  4. Christa

    ovulation bila ute telezi

    inawezekana yai likapevuka bila kuona mabadiliko ya ute? ni baada ya kutumia clomiphene
  5. Christa

    Tatizo la masikio: Fahamu kuhusu sehemu za sikio, magonjwa, ushauri na tiba

    Pole Sana! Chukua Majan Ya Mmea Wa Mbaazi, Ponda,kamulia Matone Matatu Kwenye Sikio.
  6. Christa

    Alama/ishara/dalili za mwili wako zitakufahamisha ovulation imewadia

    naomba nisaidie katika hilo, nikiwa ktk ovulation period sion mabadiliko ya ute lkn dalil nyingine zinaonekana. nimejaribu kutafuta mimba cjafanikiwa kwa muda wa mwaka sasa, hospital nilipimwa utrasound nikasafishwa mirija ya uzaz na kupewa clomiphene lkn hakuna mafanikio. naomba ushaur wenu...
  7. Christa

    Nisaidieni jaman!

    nitajaribu kupima tena, nasubiri zipite siku 7 baada ya siku niliyotarajia kupata hedhi mana mpaka leo zimepita siku 4.
  8. Christa

    Nisaidieni jaman!

    Sijapata hedhi mwez huu lakin naumwa matiti,kichwa na kutoa ute mwingi.Nilipata hedhi tarehe 11 mwez wa10,mzunguko wa siku 30. Nimepima malaria& mimba tarehe 9 mwez 11 sina kitu. Je nini tatizo? Pia kipimo cha ujauzito kinaanza kuonesha baada ya siku ngap?
  9. Christa

    Naomben ushaur kuhusu mabadiliko ya hedh!

    Nina umri wa miaka 28 mzunguko wangu ni siku 30,cha kushangaza nilipata hedh tarh 24 mwez wa 8 na jana tareh 13 nimeanza tena kubleed. Je ni tatizo gan? Maana sijabadil mazingira.
  10. Christa

    Msaada:window is not genuine

    Asanten kwa msaada!
  11. Christa

    Msaada:window is not genuine

    Naomba msaada wa program ya kuactivate window 7 ultimate kwenye dell,nimejaribu kudownload na kuinstal lkn bado inaandika 'window is not genuine'
  12. Christa

    Frequency za ku-band

    Thanx,najaribu
  13. Christa

    Frequency za ku-band

    Anaweza kuset lkn hajui frequence za channel zinazopatikana.
  14. Christa

    Frequency za ku-band

    . Ok.Kwenye emanuel tv,sbb kwenye kbc cjui vipind vyao.
  15. Christa

    Frequency za ku-band

    . Ok.Kwenye emanuel tv.
  16. Christa

    Frequency za ku-band

    Wakuu naomba mnisaidie chanel na frequency zake zinazopatikana kwenye ku band. Nina ungo ft 6 na receiva ya mediacom,fund kafanikisha kufunga chanel za cband lkn za ku bado hajawa mzoefu sana. Nipo kijijn mafund ndo hao wa kubahatisha.
  17. Christa

    Frequency za ku-band

    Wakuu naomba mnisaidie chanel na frequency zake zinazopatikana kwenye ku band. Nina ungo ft 6 na receiva ya mediacom,fund kafanikisha kufunga chanel za cband lkn za ku bado hajazimaster vizur. Nipo kijijn mafund ndo hao wa kubahatisha.
  18. Christa

    Msaada tafadhar!youtube

    Natumia nokia 2700(nokia expres).nifanyaje ili niweze kudownload video kwenye cm? Pia kuna program ya kuedit picture inayopatikana kwenye cm?
  19. Christa

    Kuwashwa

    nenda hospital kapime alergy
Back
Top Bottom