Kwa mtu anayefuatilia kitimu timu cha kashfa ya Richmond, hakuna shaka kuwa ameishaona kuwa dalili zote zinaielekea serikali ya Jakaya Kikwete maarufu kama kasi mpya, nguvu na ari mpya.
Hakuna ubishi kuwa sasa kasi mpya,nguvu mpya na ari mpya tuliyoahidiwa haina maana nyingine bali kuelekea...
SERIKALI imepiga marufuku wahubiri wa dini na waganga wa jadi wanaojitangaza kuwa wana uwezo wa kutibu ugonjwa wa UKIMWI, kwani kufanya hivyo ni kuendelea kuchochea maambukizi ya ugonjwa huo ambao hadi sasa hauna tiba wala chanjo.
Akijibu swali la nyongeza la Mbunge wa Viti Maalumu, Lucy...
You Know what Mugongo Mugongo?
Najua kinachokuleta hapa sio forum wala kuchangia bali ni kwasababu MBOWE ame-register hapa. Na soon hapo kazini kwako waliopewa arlet kwamba mbowe karegister, wewe ndio ukajisajili UWONGO? na ukapewa kazi ya kudefend MBOWE & CHADEMA.
Najua bosi wako hapo...
Vyanzo vikuu vya malalamiko hayo;
1. Ufinyu wa kiwango cha mkopo unaotolewa na kutumwa katika thamani ya T.Shs mil. 3
2. Ucheleweshwaji na Utuumaji nusu nusu wa kiwango hicho kwa wakati muafaka ndani ya kipindi cha mwaka wa masomo kulingana na Sheria na taratibu za VYUO.
Ni aibu na fedheha...
Kwa Barua hii, sisi wakaazi wa Kurasini tunakuomba Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano mambo yafuatayo:
1.Rasimisha makaazi yasiyopimwa ya Kurasini kwa sisi wakaazi wa Kurasini kama ulivyotuahidi. Tuko tayari kurudisha pesa zozote za 'fidia' tulizolipwa.
2.Ikiwa wataalam wako...
Barua ya Wakazi wa Kurasini kwa Mheshimiwa Jakaya Kikwete, Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
(Aione Mheshimiwa Jakaya Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania)
Mheshimiwa,
Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania uliahidi (wakati wa awamu ya tatu) kuwa wananchi...
Reginald Abraham Mengi, industrialist and media tycoon, twice nominated the second most respected Chief Executive Officer (CEO) in East Africa -in 2001 and 2002- is owner and Executive Chairman of Tanzania's IPP Media Group and one of Africa's leading and most influential businessmen.
A...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.