Search results

  1. M

    Tuzungumze magazeti asubuhi kutoka star TV

    Nami ni mpenzi wa kipindi hicho na hayo uliyosema ni kweli yapo. Sasa tungoje wahusika watupe ufafanuzi. Isipokuwa matangazo yanaletwa na wafadhili na huo ndio wakati muafaka wa kuyarusha, maana kabla ya hapo kuna kipindi kingine cha amka na BBC kinachatangulia.
  2. M

    Prof. Tibaijuka: Nijiuzulu kwa lipi?

    Asipotengua ama kuchukua hatua yoyote WANANCHI tutachukua hatua stahiki kwa kila aliyehusika wakati ukifika.
  3. M

    Nyalandu amtimua Mkurugenzi Idara ya Wanyamapori

    Mkurugenzi hajafukuzwa kazi kama inavyoelezwa hapa, au hata kwenye magazeti mengine. Nijuavyo mimi atapangiwa kazi nyingine..
  4. M

    Mameneja watatu wa PPF wafukuzwa, eti ni wana JF!

    Tunaomba majina ya waathirika yawekwe hapa tafadhali. Leo hii nimeota hii topic kwenye Gazeti la 'Dira ya Mtanzania' yenye kichwa "Mamilioni ya PPF yafujwa na Wakubwa'. lakini nao hawakutaja majina. Inawezekana hii isiwe kweli ama?
  5. M

    Mameneja watatu wa PPF wafukuzwa, eti ni wana JF!

    Majina tafadhali. Habari hii pia leo ipo kwenye gazeti la Dira ya Mtanzania na Kichwa "Mamilioni ya PPF yafujwa na Wakubwa" lakiini nao hawakuandika majina. Mwenye majina hayo atusaidie nasi tuyajue.
  6. M

    Mameneja watatu wa PPF wafukuzwa, eti ni wana JF!

    Jamani mtanisamehe kama majina ya waathirika yalishawekwa hapa, lakini ningeomba kujua majina ya jamaa zetu walioathirika na uozo huu. Leo kwenye Gazeti la Dira ya Mtanzania pia kuna habari hii lakini majina hakuna!!
  7. M

    Tahadhari na tigo kwa mnaoomba kazi...............

    TCRA should wake up NOW and take actions against these operators. Why all these unnecessarily useless messages at the middle of the night?
  8. M

    Tafadhali Kikwete tangaza hali ya Dharura kwa Jiji la Dar; TUONGOZE KWENYE DHARURA HII!

    Hata mimi nina wasiwasi, maana angekuwepo tungemuona Jana pale jangwani, Kigogo etc. Mambo yote ka-kaimu kwa Mkuu wa Mkoa!!
  9. M

    MAFURIKO: Hali ya usafiri Dar yawa tete, makazi yasombwa!

    Poleni sana wote waliokumbwa na kadhaa hilo. Jiji lazima liwe na contingent plan inapotokea maafa kama hayo. Sasa sijui wakazi wa nje ya Dar watatokea wapi leo!
  10. M

    Mtoto wa Kigogo Serikalini ahusishwa na mgomo wa uuzaji wa Mafuta

    Shida yetu ni maneno mengi pasipo kuchukua hatua. Ifike mahali tuanze kuchukua hatua maana bila hivyo hatuendi kokote!
  11. M

    Kashfa ya Jairo: Malipo ya zaidi Billioni 1 kusaidia Bajeti ipitishwe - Adai MP Beatrice Shelukindo

    Kwa Bongo yetu hii kila kitu kinawezekana, mtashangaa David, JK wakiendelea kupeta mjengoni kama vile hakuna kilichotokea. Busines As Usual. Si ndiyo hali yetu ya Tanzania bwana? Mambo ambayo ni serious tunayachukulia kimzaha mzaha!!!! JK hana sababu ya kusubiri 2015, aungane na RA kwenda...
  12. M

    Kashfa ya Jairo: Malipo ya zaidi Billioni 1 kusaidia Bajeti ipitishwe - Adai MP Beatrice Shelukindo

    Hili swala ni la Takukuru, lakini ninavyowajua wala hawataliweza. Wapewe wale jamaa wa rada wa Uingereza wafenye kazi. Waliotoa rushwa wote na waliopokea wajulikane, na kuchukuliwa hatua kama za akina Maranda.
  13. M

    Waziri Ngeleja Akabidhi Sasa Funguo Za Ofisi Ya Serikali

    Tanzania, tanzania, nakupenda kwa moyo wote, nchi yangu tanzania .....
  14. M

    Hotuba ya Rais ya mwisho wa mwezi Februari, 2011

    wakuu labda hesabu inanipiga chenga mwenzenu, mbona mimi nikihesabu napata hesabu ya waliokufa na kuzikwa ni 24, wakati mwanzo mkuu kasema 25? Mmoja kazikwa wapi?
  15. M

    Rwanda photo scandal Minister resigns

    Hivi Bongo wa namna hii hawapo? Au za arobaini bado?
  16. M

    Elections 2010 Utawala wa sheria chini ya chadema ni ndoto!!!!!!!!!!!!!!!

    habari leo ni gazeti ya nani vile??
  17. M

    Elections 2010 Kama unaitakia mema Tanzania usimchague Mh Slaa

    Ndipo mkazalisha EPA, Meremeta, Rada, Ndege ya Rais, Mikataba feki ya madini, etc etc.
Back
Top Bottom