Search results

  1. C

    Inatia Huruma kwa Marehemu na Muuaji Pia

    Hakimu mkenjwa haki zenu hizo mmwagie chache kama 30 tu ...akukusudia jamani.... R.i.p. Marehemu
  2. C

    Saga atcl-nyanganyi akabidhi ripot kwa waziri!!!

    :sisemi-------------aibu....na ndilo lililomfanya mh raisi kumradhi mh waziri wa miundo mbinu
  3. C

    Saga atcl-nyanganyi akabidhi ripot kwa waziri!!!

    pundamilia 07 Mungu akubariki kwa post zako na wote wenye mapenzi mema na kampuni hii. Kwa kweli inasikirisha.. Embu angalia Wiki mbili zilizopita, jamani haya si majungu kuna marubani 31 na wafanyakazi wandani ya ndege 32 walikuwa hawajalipwa mishahara yao...lakini bodi ilikaa jumatano...
  4. C

    Serikali na Hatima ya ATCL

    Invincible JF Senior & Premium Member Join Date: Sat May 2006 Location: Songeaonline Posts: 768 Rep Power: 24 Thanks: 60 Thanked 319 Times in 195 Posts Credits: 41,995 Re: ATCL yaondolewa IATA...
  5. C

    Saga atcl-nyanganyi akabidhi ripot kwa waziri!!!

    Mod naomba tuiache kwa muda tupate maoni ya watu na pengine waio karibu na huko atcl...kujua ukweli halisi....
  6. C

    Saga atcl-nyanganyi akabidhi ripot kwa waziri!!!

    ATCL wawakilisha sababu za kuharibikiwa Mwandishi Wetu Daily News; Friday,December 19, 2008 @21:15 Habari nyingine ATCL wawakilisha sababu za kuharibikiwa Mpigapicha wa Channel Ten aagwa TSN watoa msaada wa kompyuta ‘Zimbabwe isaidiwe kukabili kipindupindu’ Mgonja kula sikukuu...
  7. C

    Hamad Masauni Yussuf..... Unamjua?

    kwa raha zake wakina lowassa na rostam watupu wamepandikizwa ...si nyalisa mm malisa wala nsauni haya tusikie watakavyokula kwenye maataba wa pale .... byee
  8. C

    albino akikuibia SIMU kariakoo utamkimbiza??madhara yake unajua???

    mi ntalia tu najua nikimkimbiza siipati
  9. C

    Serikali na Hatima ya ATCL

    halafu bado Mustapha Myang'anyi anasema atajiuzulu pale tu ITAKAPODHIBITIKA kuwa bodi yake imehusika katika kufanya shirika hilo kufungiwa! Uthibitisho upitena? labda anasubiri kutupiwa mawe na watanzania ndipo ajue wamechoka nje ya hapo hatoki....majuzi nilikuwa naongea na dir mmoja na...
  10. C

    Serikali na Hatima ya ATCL

    mwanakijiji kweli unasoma nyakati!!!!sasa unafikiri tuwasaidieje hawa ndugu zetu nafikiri kuna kipindi jf ilijaa ATCL news na hakuna mabadiliko...
  11. C

    ATCL: Another Richmond!

    mbona halifunguki mkuu??
  12. C

    ATCL: Another Richmond!

    Mheshimiwa mweneyekiti una taarifa hata kampuni yako ikirudishiwa hiko kibali hutoweza kurusha ndege zako zile ndgo kama dash 8 na sababu uanajua itakuwa nini//..ama utaishia tena kuwaambia watu uzembe...kampuni yako imekuwa ikifanya maintenance za ndege illega kwa kutokuwa na kibali cha...
  13. C

    ATCL: Another Richmond!

    !!! wana ndege ngapi za kwao wenyewe??? ZIPO AIR MATTAKA *AIR NYANG'ANYI
  14. C

    Kushindwa kwa ATC & TRL - Ushauri wa Bure kwa Serikali Kutoka JF Forums

    Kukodisha ndege ya kumpeleka pale kwa mzee zanaki jioni wanaenda kulala nairobi yeye na yule mshe*** mwenzake temu alieiibia bima....ben alipojua wakamngoa sasa uswahiba wa kikwete kukaa nae pale **kwa macheni bar** ameona awaletee atcl..any way wanajua wenyewe wafanyakazi nini cha kufanya...
  15. C

    Kushindwa kwa ATC & TRL - Ushauri wa Bure kwa Serikali Kutoka JF Forums

    Mkuu ALLIEN Uswahiba na kuedekezana ndi kumelifikisha hili shirika hapa lilipo... unajua D.MATTAKA NI SWAHIBA MKUBWA WA jk.so muda wote likitokea jambo anaona aibu kumuabarisha live sasa wakati mwingine unajiuliza jamaa akichota huku na mzee anaminyiwa kidizaini au!!!aiwezekani rais mwadilifu...
  16. C

    ATCL: Another Richmond!

    Je hayo magari yatatolewa lini??na aliehusika kuyaleta na kushindwakuyatoa aliwajibika??? kuna fununu kuna baadhi ya waliohusika katika kuleta magari haya ama kwa kwenda kuyaangalia ama kusaini kati ya moja ya makaratasi...swala hili liko mikononi mwa takukuru na baada ya kuona hilo...
  17. C

    ATCL: Another Richmond!

    KULETA MARUBANI WASIO NA RATES ndugu mwenyekiti..kumekuwa na malalamiko ya ajabu ajabu huko kwenye kampuni yako!!!kuhusu hawa marubani wa kizungu mnaowaleta..labda kwa taarifa yako tu kuna kampuni inaitwa easyway...kampuni hii imekuwa ikiwafanyia trainning wanafunzi wanaotoka fresh from school...
  18. C

    ATCL: Another Richmond!

    AJIRA MBOVU swala la ajira nahisi si la kuongelea sana maana hata wewe umehusika kuna baadhi ya watu walikuja kwako ukawaelekeza waende kumuona dav na hivi sasa wamejazana matokeo yake ..umejaza watu ambao si qualified kwa minajili ya kujuana na uswahiba...mwisho unafikia kulalamika hmna pesa...
  19. C

    ATCL: Another Richmond!

    mod tunaomba ijitegemee pls!!!! ahsante Nimesoma gazeti la leo likanikumbusha mbali sana kuna maswali nilikuwa naulizwa nikiwa darasa la tano na saba majibu ni....MUSTAPHA NYANGANYI leo hii kwa bahati mbaya naskitika kupingana na yule yule mabae kwa wakti huo niliona bila kujaza jina lake...
  20. C

    ATCL: Another Richmond!

    Re: ATC SAGA: Wafanyakazi wataka Uongozi Ujiuzulu! -------------------------------------------------------------------------------- Hii niliiona March,JF ni watabiri??? nafikiri watu waliisoma na kuweka kwenye makabrasha nakumbuka ilipelekea kijana mmoja niliekuwa namfahamu pale mjini...
Back
Top Bottom