Mtachonga sana lakini hamtafanikiwa. Mhe. hajaenguliwa na wala hatajiengua!! Tunahitaji Rais ajaye awe mtu wa kujitambua na mwenye agenda siyo hao wa kuchongwa na kusindikizwa sindikizwa. Mhe. Lowasa anatosha sana kuingia ofisi ya Magogoni
Shindano la Tanzania Top Model litafanyika kwa mara ya kwanza nchini siku ya Jumamosi 7/12/2013 katika ukumbi wa Mwalimu JK Nyerere ulioko Jijini Dar es salaam katka barabara ya Shaaban Robert inayoanzia kwenye viwanja vya Gymkhana na kuishia kwenye lango kuu la Ikulu ya Dar es salaam...
wazee wa jamvi hili, samahani kwa kuwatoa nje ya maada, nawaomba tu mnisaidie namna ninavyoweza kuondoa "like" kwenye Team Kingwangala huko kwenye ukurasa wake wa facbook . Mimi ni hayo tu. Sitaki kuhusiana tena na mtu mwenye matamko ya kijinga ya namna hiyo!!
napendekeza kuwepo na jimbo la Tanganyika litakalokuwa na mikoa ya Tabora, kigoma, Rukwa na Katavi. Jimbo la Dar es salaam litakalokuwa na mkoa wa Dar es salaam na wilaya ya Bagamoyao na Kibaha, Jimbo Kilimanjaro litakalokuwa na mikoa ya Tanga, kilimanjaro, Arusha na Manyara. Jimbo la Zanzibar...
tuwe na serikali kumi! serikali kuu na serikali nyingine tisa za majimbo. Majimbo manane ya bara na moja la zanzibar. Majimbo yawe na serikali zao na mamlaka kamili isipokuwa fedha, mambo ya nje, mambo ya ndani na ulinzi. Hii itasaidia sana kuondoa uwezekano wa kuvunjika muungano, itaharakisha...
Ni mtoto -------- tu anaye weza kuvumilia Baba yake akitukanwa na kudhalilishwa!! he is now crossing the line, na hatupashwi kukavumilia hako ka Ngongoti!! Mimi nilidhani ka jamaa kana akili kubwa kumbe kanafikiria vita na kuua tu! Ni kosa gani kubwa Mkuu wa Kaya yetu alifanya mpaka astahili...
Nakushukuru sana kwa darasa lako ila nadhani kuna mahala kuna kosa! kwa nini kusiwepo na vipimo? Nadhani wakati act hiyo inapitishwa msamiati wa 'kuchakachua' ulikuwa bado kuanzishwa!
Inaelekea wengi tunaochangia maada hii tunakubaliana kuwa kuna mabadiliko ya/kwenye Bendera ya Taifa!!! Lakini hatujajadili iwapo mabadiliko haya yameshababishwa na ujio wa Obama au yalifanyika kwa kufuata taratibu zilizoko za kubadili bendera ya Taifa au ilikuwa ni makosa ya bahati mbaya au ni...
Nadhani historia itakuwa imeandikwa upya kuwa Rais Obama alipotembelea Tanzania; Tanzania imebadilisha Bendera na kufanya muonekano wa bendera ya Taifa ya sasa kuwa tofauti na ya zamani ili kuingia kwenye kumbukumbu kuwa ndilo Taifa pekee lililo wahi kubadilisha Bendera yake kwa ajili ya Ugeni...
Ujio wa Rais wa Marekani unaweza kubaki kuwa ni kumbukumbu kubwa kwetu kama nilichokiona jana, yaani kubadilika kwa muonekano wa Bendera ya Taifa; kutakuwa kumesababishwa na ujio wa Rais Barack Obama!!
Barabara ya Julius Nyerere inayotoka Uwanja wa Ndege atakapopita Rais huyo kumepambwa...
Mimi nashangaa sana watu wanaoitetea CCM!!! wanashindwa kuja na hoja zenye nguvu za kushinda na badala yake wanaungana na CHADEMA kurushiana matusi na kuondoka kwenye hoja zenye tija!! Naamini Wana CCM wana mambo mazuri na mengi ya kuwashinda CHADEMA katika uzi huu kwa hoja!!
CCM ni chama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.