Search results

  1. G

    Nchi inafungwa

    Hizi mesage nyingi bwana vituko vitupu. Hebu angalia hii hapo chini:- "Kutokana na migomo inayoendelea nchini, Raisi ametangaza kufunga nchi kwa muda usiojulikana. Ifikapo saa 10 jioni asionekane mtu nchini. Ninavyoandika message hii nipo Uganda."
  2. G

    Uozo TTCL Broadband

    Jamani TTCL broadband mnatufilisi wateja wenu. Sisi ni wateja wenu wa miaka mingi sana. Sasa hii tabia mlioianzisha hivi karibuni sio nzuri kabisa. Tukiweka pesa kwa ajili ya internet ya Broadband baada ya wiki 2 mnafunga hata kama kuna hela imebaki. Halafu tukiwafuata mnasema tulipie shilingi...
Back
Top Bottom