Ana mshara wake sio zaidi ya shilingi 90,000 kwa mwaka ni karani kama vile sekeretari. Hata akifanya mpaka astaafu hatapata zaidi ya hiyo. Balali pension yake haikuzidi 120.000. kwa mwaka. Sasa majumba yote hayo wameyapata na nini. Harusi ya mamilion gauni tu lilikuwa 50.000 dollars kule...
Kuna mtu ameniambia alienda Eaton jamani kama ni kweli anavyopenda sifa angesema hivyo naomba muangalie Oxford mchunguze kwanini aweke Oxford bila Eaton. I hope we all know what Eaton is all about lets do our home work. Find the data this could like the Iranian Minister how resined for the...
Do you remember the history of Tiputipu during the slave tradE??????? He was a notorious slave trader and am seing similarities here with this guy. Prince William may Godbless you and give us some more what you are saying is true. Can l ask you a question do you think Balali died or they just...
Mnajua hawa watu wanatucheka sana. Wao wameshiba nchi ikiharibika watakimbilia kwenye visiwa walivyopeleka hela zetu na familia zao haziwezi kupata shida watakaopata shida ni walalahoi kama muuzachai ambae hana pakwenda ila akitupiwa mfupa anaropoka mambo ya kudhalilisha Mengi. Mengi tangu leo...
In other words in 48 hrs Mengi and the like will be dead or what????? This justify Mengis paranoia that they want to kill me.It will be Rostam wants to kill me. How fablous. Thats why the whole government is afraid of him????? Blackmailing them and if it wont work he will kill them eh.
Hao wanaotetea mafisadi wasome barua ya Salva kwa fisadi wake na waone kama ukitetea fisadi akifanikiwa atakukumbuka. Fisadi ni fisi aktakula mpaka atapike na ale matapishi yake na atapike tena.
Jakaya Mrisho Kikwete would have been elected with or without all those tapelis who claim to put him there;Please do not waste our countries time and money in misleading people. What we need is a country thats being ruled with some effort to help poor people.
Ni rafiki wa Lukaza wa epa walitaka kujenga nyumba pamoja. Sidhani kama Obama ni mjinga kujihusisha na tapeli kama huyo. Pia alijihusisha na serikali kukandamiza wenye ardhi ile waliyojengea ubalozi ni wale wamarekani wanaotuona sis waafrika wapumbavu ingawa tuliwauza kama peremende
This nation is going down faaast. It is true there are clasified documents and non clasified documents in any Nation,but EPA and the like were not clasified documents they may have been classified documents to the benefitiaries.This law is used to fleece poor peasants in this nation.
Kuna mtu kasema wafugaji hawachangii chochote kwenye maendeleo ya nchi hivi huyo amesahau nyama choma ya nchi hii. Alafu world consumption of meat per person per year is 50 Kg. Bongoland it is currently 11Kg per year. Maybe thats why our brains do not work we lack protein.
All the great tanzanians have run away from this misery, stupidity, incompetence, corruption etecetera. God bless them where ever they are and let them shine and show that not all of us a as we look.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.