Search results

  1. D

    Serikali ichukue hatua za haraka kwa uongozi wa Regional Air/Air Kenya

    Hamza Mwapachu aliyesimama akiteta na Financial Manager Philip Njakai kabla ya kuwafukuza wafanyakazi 23 kazi
  2. D

    Serikali ichukue hatua za haraka kwa uongozi wa Regional Air/Air Kenya

    General Manager Capt Hamza Mwapachu, ameendelea kuvunja sheria za Nchi kwa kuwapa barua wafanyakazi kusitisha ajira zao kwa sababu waligoma kusign mikataba mipya pasipo mikataba ya awali kusitishwa... Hamza amekuwa mkaidi pamoja na directors wa Airkenya na...
  3. D

    Kwa nini hakushika ujauzito?

    asanteni wakuu kwa ushauri wenu
  4. D

    Kwa nini hakushika ujauzito?

    Mkuu,mtu anapokuja kuomba ushauri hapa sio kwamba hajui anachokifanya, kama hufahamu kitu bora ukae kimya
  5. D

    Kwa nini hakushika ujauzito?

    Mimi na mke wangu tumekuwa tukitafuta mtoto kwa muda wa miezi 6 sasa. Muda mwingi mimi huwa safarini kwa shughuli za kikazi kwa hiyo kukutana huwa si mara kwa mara. Mara ya mwisho yeye kuona hedhi ilikuwa tar 13Aug,tukakutana kimwili tar 24/25 kisha nikasafiri.Leo amenipigia simu anasema ameanza...
  6. D

    Tushare hizi namba kwa usalama wetu

    ni namba kwa ajili ya watanzania wote
  7. D

    Tushare hizi namba kwa usalama wetu

    asante mkuu kwa kushare pia
  8. D

    Tushare hizi namba kwa usalama wetu

    Wadau nimeona si vibaya kuweka hizi namba hapa, ili kila mmoja atakaependa aweze kuzisave kwenye simu yake kwa ajili ya dharura. Namba hizi ni za jeshi la polisi wa usalama barabarani. Kutokana na ajali hizi za kila siku ni vema kama watanzania tukashiriki katika kujali usalama wa maisha...
  9. D

    Mbunge Mussa Khamis Silima afariki Dunia

    hivi bunge haliwezi kuisha kabla hawajatoana kafara, hili ni bunge la ngapi kusikia mbunge kafa? RIP mpiganaji
  10. D

    Sijui serikali ya CCM mtanishawishi vipi niwape kura 2015

    sidhani kama hiyo hela nitaipokea, wenzangu na mimi mliopokea elfu kumi, tujiulize mpaka sasa hiyo pesa inatusaidia nini
  11. D

    Sijui serikali ya CCM mtanishawishi vipi niwape kura 2015

    Maisha yamekuwa magumu. Bei ya mafuta imepanda Gesi bei ipo juu Maji ya mgao Umeme ndio usiseme, kila kitu kimepanda bei kwa ajili ya uzalishaji kuwa mdogo. Nikisema ninunue jenereta bado nakutana na mafuta bei ndio hiyo. Nitashawishika vipi kuwachagua tena kwa kipindi kijacho. Kwa nini sisi...
  12. D

    JF Beyond Keyboards in DSM what's uuuup?

    ukisikia unafiki ndio huu, utavishwa kanga wewe
  13. D

    Maumivu upande wa mkono wa kushoto baada ya kunywa pombe

    hivi kumbe valeur ni whisky, sikujua
  14. D

    Ezekiel Maige, Tour Guide wa Kizungu wamevamia Mbuga zetu

    madini yashindikane kudhibiti ndio itakuwa utalii? na bado mtachonga sana mwaka huu
  15. D

    Im in love with FF

    orait orait, hongera kwa uzinifu wa kimawazo
  16. D

    Aibu gani???

    wapi picha?
  17. D

    Hii ndio staili ya maharusi wa sasa?

    shake well before use
  18. D

    Hawa ni wa Kutupwa Lupango Haraka Sana

    sasa hii chuki binafsi na wivu wa kitanzania
  19. D

    Ezekiel Maige, Tour Guide wa Kizungu wamevamia Mbuga zetu

    mbona nlkigoogle hiyo kampuni na huyo mmiliki wake napata taarifa tofauti,
Back
Top Bottom