Ukisoma hizo sentensi kwa umakini wa dhati utagundua tatizo kubwa na ufisadi wa kutisha! Hata hivyo kwa vile tuna mazoea ya ushabiki kwa mambo ya msingi kupitia kwa kauli ya NS hoja hii imekwishachakachuliwa na wabunge kupitia kmt iliyoundwa wamrtumia fedha za walipa kodi kufanya utalii. Ukweli...
Wake za watu michepuko balaa! Na mbaya zaidi wanahonga kupindukia. Wanasingizia kwenda kwenye vikao vya harusi,kitchen party au kutembelea wagonjwa! Tena Ni wamama wanashabikia mashindano ya ngono za michepuko mama ufahali
Haya Ni majanga! Wake za watu wamecharuka kwa michepuko na wanahonga vizuri! Ikiwa Una rafiki anae deal na cyber crime mwambie akufyatulie vilivyopita kwenye simu ya mkeo unaweza zimia! Wanachepuka kwa visingizio vya vikao vya harusi,kusalimia wagonjwa,kitchen party nk. Mimama mingine mijitu...
hiyo noma! kwani mpaka mnachukua uamzi mzito wa kuoana bado tuu kuna viini macho? wanawake wengi hujibadilisha tabia kabla ya kuolewa. mara baada ya ndoa ndio uhalisia huonekana. uchoyo, roho mbaya nk.kwa kweli wanawake wa kiafrika ni majanga. nimefahamu kwa nini jamaa walikuwa wakiishia kuoa...
Kwa jambo hili mfano wa marekani ni sahihi kabisa kwa watu wenye fikra mgando kwa watoto wa viongozi wastaafu kugombea. Je ukiwa mtoto wa mhandisi ni dhambi kurithi kazi ya mzazi kama una sifa? Tuache ukenge..hivi mwanaume gani lijari ambaye hapendi wanawake? Msitufundishe ushoga..p.
Humjui bw Stephen Masatu vizuri! Hana hata sifa kiduchu kwa nafasi hiyo. Sifa zake za ziada ni mnafiki/mbinafsi/mtu wa visasi/ roho mbaya/ mpenda madaraka/ mtu wa fitina! Anajaribu kufikia mafanikip ya Mh Jaji Sinde warioba au kumpita. Ndiyo maana aliongoza kampeni kwenye bunge maalum la katiba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.