Search results

  1. Ph-25

    Kanisa la RC Nyangh'wale mkoani Geita

    Hili ni moja ya kanisa kongwe kidogo hapa wilayani na mkoani pia,kanisa hili tangu aondoke Padre mmoja aliekuwa anaitwa Bilinge, halijawahi kupata Padre ambae anaelewana na waumini. Huyu aliepo sasa ndiyo anasababisha mitafaruku mingi sana kila leo, waumini wanatukanwa kanisani matusi mazito...
  2. Ph-25

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Kwa akili hizi basi sishangai jeshi lenu la kenya KDF (kenya drunkard force) wana sanda kwa alshababu pale somalia.
  3. Ph-25

    EU yatangaza vikwazo vipya dhidi ya Moscow

    Mbuzi kabisa hii,watu wanalia gharama za maisha,ikiwemo chakula kua juu wewe unazungumzia instagram kuondoka urusi? Kwaio apo ulipo unakula instagram.?
  4. Ph-25

    Ufaransa yawataka raia wake waondoke Urusi

    Hana uo uwezo.
  5. Ph-25

    Ukraine yasaini maombi ya kujiunga Umoja wa Ulaya (EU)

    Wewe kama nani unaesema mrusi lazima asarende.
  6. Ph-25

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Kwaio na wewe unaiamini io tovuti kwa kila kitu.? Yani mzaliwa wa chato burigi akatambuliwe jina na mkenya wa kisumu huko kiraisi raisi tu.? Maiti zinaungua moto hovyo uo utambuzi wanatumia njia gani kuwatambua.? Au ndio unaamini propaganda za kua warusi 5000+ wameuwawa na ao kiev.? Unaamini...
  7. Ph-25

    Mtanzania Hasa A Kingo awa Jaji Nchini Marekani

    Hakuna kijiji kinacho itwa msanga kwa dibibi bali kuna kijiji kinaitwa msanga. Apo pana soko japo ni dogo sana wamezoea kupaita msanga sokoni. Sasa kwa mbele kuna check point ya maliasili kuna diwani mmoja amejenga apo huyo diwani ndio anaitwa dibibi. Mtoto wake mmoja anaitwa shafii nimesoma nae...
  8. Ph-25

    Tambua uelekeo wa dishi katika satellite za chaneli (picha za madishi)

    Hauwezi pata io sat beam haifiki dar.
  9. Ph-25

    Mkurugenzi na mkewe wafa maji Mpwapwa

    RIP Neema nitakukumbuka daima ulikua nguzo kwangu tangu una soma nursing pale lugalo ukiishi kawe... Rest in peace Chawala,ulikua ni shemeji kwangu nilie muanini sana,nafahamu misuko suko uliyopitia ktk maisha mpaka mpaka unafika apo,nakumbuka motisha wako juu ya maisha kua tusikate tamaa kamwe...
  10. Ph-25

    Mkurugenzi na mkewe wafa maji Mpwapwa

    Chawala alikua nanisan xtrial nyekundu.
  11. Ph-25

    Uchaguzi 2020 Polepole: Upinzani wamekuwa mstari wa mbele kutumia uongo kama nyenzo ya kampeni, adai Lissu ana tatizo la 'memory'

    Nilikuona wamaana sana kumbe kichwani mweupe tu,umejaa chuki za kipuuzi,hivi unawezaje mtu kua raisi kwa kupigiwa kura na kabila moja tu? Unaanzaje kutukana kabila zima kwa kosa la mtu mmoja? Ficha upumbavu wako.
  12. Ph-25

    Mwalimu aliyeshtakiwa kwa kumbaka Mwanafunzi ahukumiwa miaka 30 jela. Mwanafunzi afukuzwa shule

    Unapiga bao mbili tu alafu unafungwa jela miaka30.? Pole sana kamanda.
  13. Ph-25

    Virusi vya Corona: WHO yasitisha majaribio ya dawa ya Hydroxychloroquine na kutoa onyo

    Mbona unahoja za kitoto.? Kwani maralia si ina dawa.? Kuna wagonjwa wangapi wa maralia kila kunapo kucha.?
  14. Ph-25

    Hivi ndivyo China ilivyotengeneza COVID-19 kuangamiza watu ili kuidhibiti dunia kiuchumi

    Unaushahidi wa haya uliyo andika hapa au ndio unaandika kutokana na mihemko yako jinsi unavyo fikiria wewe basi na wengine wote tukubaliane na haya matango yako.? Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Ph-25

    China yafunguliwa mashitaka rasmi:Yadaiwa dola Trilion 20 kwa sababu ya kirusi cha korona

    Ninani kathibitisha kua china ndio katengeneza hivyo virus.? Wakina nani waliofanys uo uchunguzi wakagundua china ndio mtengenezaji.? Sent using Jamii Forums mobile app
  16. Ph-25

    Italia yaipiku China kwa idadi ya vifo vitokanavyo na ugonjwa wa Covid 19

    Unaushahidi kiasi gani kama taharifa walizo toa china hazikua sahihi.? Au ndio mahabaniue.? Inakuaje unatumia kichwa chako kuwana au kuamua kua habari za upande mmoja ziko sahihi na usiziamini na zaupande mwingine wakatu haujazipata izo habari kutoka ktk vyombo ambavyo ni neutral.? Unauhakika...
Back
Top Bottom