Search results

  1. T

    Siri niliyoipata katika kufunga siku 21 kila mwanzo wa mwaka

    Venus Star usiwape mbwa chakula Cha watoto una maana gani?
  2. T

    SoC01 Simu imekuwa kama Nyoka kwenye Mahusiano, Mapenzi na Urafiki. Sumu yake ni hatari sana

    Wana JF, salaam nyingi. SUMU YA SIMU NA SUMU YA NYOKA: “Naongea na simu”. Siku hizi simu zinatoa sumu kali sana, hadi kuua zinaua. Hebu tulia kidogo, kisha fananisha kidogo simu yako na nyoka. Vipi, simu yako mara ya mwisho kutoa sumu ni lini? Nyoka asipotoa sumu hana madhara, lakini akitoa...
  3. T

    Ivi huyu dogo anafanana na nani

    Hata sijui anafanana nani? Wadau tujuzane
  4. T

    Unahitaji kuwa Afisa Usalama? Give it a try

    Hahahaha......hata mm bado sijashawishika na hayo mambo; labda niwe jasusi la masuala ya kiuchumi hahahaha
  5. T

    The Citizen kwa habari mbalimbali inakuja kwa kasi ya ajabu sana. Kudos!

    Nadhani hawa jamaa ni manyang'au toka Kenya. Ki ukweli wananihabarisha sana mambo mbalimbali yanayojiri hapa Tanzania na East Africa kwa ujumla. Sidhani kama kuna chombo cha habari Tanzania kilicho na uwezo wa ku update kama hawa jamaa thecitizen. Sidhani. Ukitaka kuwafaidi zaidi; ingia google...
  6. T

    Misimu 3 sasa; bado kocha anaendelea kusuka kikosi, dirisha la usajili linakaribia kufungwa!

    Kwangu mm naona hili ndo suala kubwa linalomgharimu kocha.....hana clue za kutosha kuhusu hizi game.
  7. T

    Misimu 3 sasa; bado kocha anaendelea kusuka kikosi, dirisha la usajili linakaribia kufungwa!

    Sawa kabisa, nionavyo pia mimi maana inaonekana kabisa majeruhi yatakuja kuigharimu timu. Kwa mfano yule kinda machachari aliyesajiliwa kutoka viunga vya lindi huko sidhani ataacha timu ikiwa salama kwa namna alivyojeruhiwa
  8. T

    Misimu 3 sasa; bado kocha anaendelea kusuka kikosi, dirisha la usajili linakaribia kufungwa!

    Kocha alikabidhiwa timu mwishoni mwa mwaka 2015; na kimsingi msimu wake ndo unaanzia hapo hapo! Kocha alifanya overhaul nyingi sana. Kuanzia centre back, midfields, na striking force bila kusahau bench la ufundi. Nadhani lengo lake kubwa lilikuwa kuwapata defensive midfielders na attacking...
  9. T

    The Greatest JF intelligent man

    Achana naye.....bure kabisa.
  10. T

    The Greatest JF intelligent man

    andika kiswahili boya wewe mwenzio kaandika kiswahili.......sasa mtu anakuongelezea kichagga we unamjibu kikurya dah the most intelligent man in JF hahahahaha
  11. T

    Wale wa Microfinance: Tupeane mbinu za kuwakabili loan defaulters pamoja na kung'amua soko anuai!

    Mmmhhh kwa bongo nadhani bora uende benki kabisa.....hz microfinance ndogo ndogo mmmhhh naona tabu tu.
  12. T

    Wale wa Microfinance: Tupeane mbinu za kuwakabili loan defaulters pamoja na kung'amua soko anuai!

    1. Ongeza repayment period......maana yake mteja aongezewe muda zaidi wa kutumikia mkopo wake; still risk bado ipo ila kama nakuelewa fulani hv 2. Chukua dhamana zinazouzika kirahisi.....hebu jaribu kuorodhesha baadhi kwa mfano 3. Kaa na mteja mjadili namna ya kulipa deni lake.....hahahaha...
  13. T

    Wale wa Microfinance: Tupeane mbinu za kuwakabili loan defaulters pamoja na kung'amua soko anuai!

    Mods naombeni uzi huu uwe sticky kwa manufaa ya wengi. Maisha ya mijini hususani miji mikubwa kama Dsm mikopo ya hapa na pale ni jambo la kawaida sana. Riba za 60%, 50%, 40%, na kuendelea ni jambo la kawaida sana kwa hapa Dsm. Sasa kuna baadhi ya changamoto kwa upande wa dhamana. Wengi...
Back
Top Bottom