Search results

  1. Kitoabu

    Muliokuwepo kwa mkapa leo, mtujuze

    Kuna video clip nimeiona inateand huko FB. Video hiyo inamuonyesha mtu mmoja alievaa joho jekundu, akichezea kichapo kutoka kwa watu wenye hasira kali tena ni ndani ya uwanja kabisa, alafu kuna sauti inayo sema "pigaaa wachawi hao" na nyingine ikesema, "walikuja kuroga hawa" mpaka sasa bado...
  2. Kitoabu

    Macho yameni chachia, kwa mwenye kujuwa dawa ya asili/ kienyeji anisaidie.

    Nimejitahidi sana kujikinga dhidi ya huu ugonjwa lakini naona imeshindikana na kwasasa nimenasa. Tangu jana usiku nilipo anza kuhisi dalili za ugonjwa huu na hapa ninapo andika tayari jicho moja tayari limeshindwa kufunguka. Chonde wataalam / madaktari nisaidieni kupata suruhu ya tatizo hili...
  3. Kitoabu

    Kuelekea Yanga vs Simba refa asiwe mwanamke

    Ili kuleta msisimko zaidi ya mechi hiyo ingependeza refa awe mwanaume, maana hii ni zaidi ya mechi hapa Bongo. Iko wazi wenzetu jisia ya kike hawawezi kuhimili mikimiki ya mechi ngumu kama hizi. Tuliona kule tanga kilicho tokea, na tunaendelea kuona kwenye mechi nyingi tu zinazo chezeshwa na...
  4. Kitoabu

    Ombi langu TFF, Waamuzi wa Kike wasitumike kwenye ligi yetu

    Japo nitaoneka sijui kitu, ama nataka kuharibu vibarua vya watu, lakini angalau na mimi nitoe dukuduku langu. Kwakweli TFF angalieni namna nyingine ya kuwatumia waamuzi wa kike, ama watumike kwenye mechi za wanawanake wenzao ama wawe washika vibendera wa pembeni (tena hapa upite mchujo) ila...
  5. Kitoabu

    Tuweke ushabiki pembeni, ipi ni medali hapo?

    Kufuatia zile kelele eti oh Makolo na wao wanamedali za CAF, [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nikaamua kuzama chimbo na kushangaa nicho kiona. Nikaamua kuja nacho kwenu wadau munisaidie hivi ni kweli makolo walivaa medali ama ni mapati ya sido?
  6. Kitoabu

    Natamani nirudi nyumbani Tanzania nianze maisha mapya, lakini sijui nitaanzaje?

    Amani ya bwana iwe nanyi kwa ujumla. Bila kupoteza muda, mwenzenu nisha tingwa, maana maumivu ayapatayo mtu huyajua mwenyewe muhusika. Miaka 12 ndani ya Mocambique, nishafanya biashara, nishachimba madini lakini sasa maji ya shingo yameshanifika, na ukweli natamani kurudi home. Kama kupata...
  7. Kitoabu

    Jana nilithibitisha kuwa nimekomaa kwenye mapenzi

    Katika siku nilionyesha uvumilivu ama naweza sema ukomavu katika mapenzi ni jana. Maana sio kazi ndogo kumfuma mtu na mchumba wako, tena mchumba mwenyewe mpya hata week mbili sijamaliza nae halafu nisifanye chochote niamue kuondoka tu, sio poa inahutaji moyo wakiume asikuambie mtu. Ila na...
  8. Kitoabu

    Chuo cha Institute of Accountancy Arusha wamechukua ada zetu hawapokei simu

    Hiki chuo kilianziasha mafunzo kwa ngazi ya Masters kwa mfumo wa long distance learning. Na hoja zao ilikuwa kuwa watakuwa wanaweka recorded video za masomo ya darasani kwenye moodle yao ili wale wa blended wawe na uwezo wa kujipakulia na kusoma. Lakini baada ya kuchukua ada zetu simu zao...
  9. Kitoabu

    Msaada, kwamwenye kuijua dawa ya kuotesha nywele kwa wenye vipara

    Kuna msemo unasema "Mtu huomba asicho nacho haombi alicho nacho". Me napenda niwe na nywele nyingi kama zamani tofauti na sasa hiki kiwaraza (kipara) nilicho nacho. Kuna miaka niliwahi kumuona Wine Roony akiwa na kipara kama zidane, lakini miaka kadhaa mbele jamaa nywele zake zikaotea kama za...
  10. Kitoabu

    Nimempiga mwizi mapanga mawili ya kichwa, akifa Mungu nisamehe

    Mungu anajua sijawahi liua jitu hata siku moja lakini ikitokea lile jamaa likafa shauri yake na familia yake. Mwaka jana nimeibiwa mara mbili nikahama mtaa. Wiki iliyopita nimemkosa kidogo tu, ashukuru niliamka usingizini nikiwa na pombe kichwani na kupelekea kupiga kelele akasepa zake. Leo...
  11. Kitoabu

    Nimekutana na kitu cha ajabu leo, kimenishtua mimi na nilio kuwa nao

    Ndugu zangu leo nimekutana na kitu cha ajabu kilicho nistua na kunishangaza sana. Nikiwa katika mishe zangu za kutafuta mkate wa kila siku ndio kilipo tokeza kitu hicho. Tangu nikiwa mtoto nimezoea kukiona kitu hicho kikiwa angani, lakini leo nimekiona kitu hicho ardhini kikijongea kuja tulipo...
  12. Kitoabu

    Msaada: Napata watoto wa kiume pekee

    Asie kubali kushindwa si mshindani Asie shukuru huyo ni shetani, Nachukua fursa hii kumshukuru muungu kwa kumsaidia mkewangu kujifungua salama masaa tisa yaliyo pita, ila kuna duku duku ninalo ndani ya moyo wangu. Oyah ndugu zangu, usiku wa jana Mungu ameejaalia mkewangu kajifungua salama...
  13. Kitoabu

    Kichwa cha Tumbusi na maajabu yake

    Habari mabibi na mabwana, bila shaka ni wazima, na mida hii kila mmoja wetu yupo kwenye mihangaiko yake ya kujitafutia mkate wa kila siku. Nisiwachoshe sana twendeni kwenye dhumuni la habari hii. Habar hii naileta kwenu kama story, lakini ni story ya kweli wala sio alfulela ulela. Ushawahi...
  14. Kitoabu

    Kulala na mnyama (Paka) kitanda kimoja kunaweza leta tatizo la kiafya?

    Ni week sasa nimekua na lala na paka kitanda kimoja bila wasiwasi wowote. Jana nilipata mgeni ghettoni kwangu, kilicho mshangaza mgeni wangu ni Kitendo cha paka kuja kulala pale tulipo lala. Mgeni wangu aliniambia sio vizuri kulala na wanyama, akatolea mfano huyo paka kua anatabia ya...
  15. Kitoabu

    Kesho naenda kupima UKIMWI. Naombeni ushauri na maoni yenu wadau

    Kwa mara ya kwanza katika uhai wangu, kesho naenda kupima Ukimwi. Sio kwa hiyari yangu, bali ni mifumo ya kidunia imenibana. Sijui nani alieweka ushauri wa kupima UKIMWI kwa lazima kwa mama mjamzito? Mbaya zaidi si mama mjamzito pekee, bali wanataka na mumewe pia. Mimi na mke wangu tayari tuna...
  16. Kitoabu

    Huu mwaka bora uishe tu, maana......

    Nasemaje, huuu mwaka ni bora uishe, tena uishe kabisaaaah. Yani katika uhai wangu, mwaka 2020 na mwaka 2017 ni miaka pekee ambayo sinta kaa nikaisahau, haki ya mama. Huu mwaka (2020) nimezika zaidi ya marafiki 6 wa faida. Nime zika kaka mkubwa Likoroma, huyu ndio wakwanza kufungua dimba...
  17. Kitoabu

    Vyakula vya ajabu nilivyowahi kula

    "Hata Nguruwe huwa ana swih mbele ya njaa ya kufa" Hii kauli niliwahi kumsikia Fid Q kwenye moja ya nyimbo zake, kitambo kidogo. Muda huo nakula ugali wa kengele, yani dereva wa sahani break mkeka. Nilipo kuwa nausikia mstari huu, kila siku nilikua najisea kua hata iwe vipi sintokuja kula...
  18. Kitoabu

    Tukio la kusisimua nililolishuhudia kwa macho yangu katika msitu wa Nairoto

    Naandika habari hii nikiwa na kumbukumbu ya kuwakumbuka marafiki zangu dogo Chiko, Wamisujo, pamoja na Topha. Hii ilikua 2015, leo ni zaidi ya miaka 5 imepita tangu washkaji zangu hao watangulie kuzimu. Utashangaa kwanini leo nimekaa nikawakumbuka machizi boti wangu hawa. Leo Asbuhi nimekutana...
  19. Kitoabu

    Lupatu: Kinga dhidi ya wachawi na uchawi

    Boa tarde camaradas. Tembea uyaone, zunguka ujifunze. Hivyo ndivyo ninavyoanza kwa leo. Mara nyingi nimekua msomaji tu humu ndani, ila leo kuna topic nimeisoma humu ndani iliyo nishawishi na mimi leo niandike. Katika harakati zangu za kutafuta maisha nilijikuta naangukia Mocambique...
  20. Kitoabu

    Uzi maalum kwa wachimbaji na wanunuzi wa madini

    Hii nikwaajili ya kupeana habari zinazo husiana na issue yetu (Madini) Kama we ni mchimbaji ama ni mnunuzi wa madini popote ulipo kwenye dunia hii unaweza kuchangia mada yoyote inayo husiana na madini Karibuni. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom