Search results

  1. K

    Motor Insurance Tanzania

    Ndugu zangu nataka kuweka Insurance kwenye mashine zangu za kilimo i.e Tractors. Ni kampuni gani nzuri kwa biashara kama hiyo?
  2. K

    Maoni yangu toka Rais Magufuli aingie Ikulu Miezi Tisa iliyopita

    Ndugu wana jamvi kwa heshima na taadhima ninawasalimu. Naomba kutoa maoni na mapendekezo kuhusu uongozi wa Mh JPM kwa muda wa miezi 9 toka awe Raisi wetu. JPM, anajua matatizo na kero za watanzania kwa kiasi kikubwa sana na alianza vizuri kutatua kero hizo. Watanzania walio wengi walifurahi...
  3. K

    Natafuta Fundi wa mashine za Ujenzi

    Habari zenu wana JF. Nina mashine za kufanyia marekebisho ya barabara (Road works machine) na mashine zingine za ujenzi wa majumba, ninatafuta fundi mzuri na mwaminifu atakayeweza kuzifanyia service na kuziangalia vizuri kwa malipo tutakayokubaliana. Tafadhali kama kuna fundi ama mtu yeyote...
  4. K

    Elections 2010 CCM wamekabwa kila kona, hawana mpya

    Slaa: Watanzania ipuzeeni CCM • Asema imeonyesha dalili za kufa na Mwandishi wetu MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, amewataka Watanzania kupuuza ujumbe mfupi wa maneno (sms) unaosambazwa kupitia simu mikononi kuwa ni ujanja wa...
  5. K

    Je kuna haja kweli ya kuwaruhusu kuendelea kutawala?. (Kichefuchefu)

    Ufisadi wa kutisha • Trilioni 1.7/- zatafunwa serikalini na Edward Kinabo SERIKALI ya Awamu ya Nne imeendelea kukumbwa na jinamizi la matumizi mabaya ya fedha za umma (ufisadi), baada ya kubainika kuwa imetumia sh trilioni 1.7 kwa kipindi cha mwaka 2008/2009 bila maelezo ya kina...
  6. K

    Swali - Msaada

    Ndugu wana JF, Tafadhali naomba kufahamishwa: - - Tanzania tuna majimbo mangapi ya uchaguzi?, majimbo mangapi yako chini ya chama tawala na mangapi yako chini ya upinzani?.
  7. K

    Ukweli ni upi

    Nini kiliongelewa katika kikao cha NEC?, mkweli ni nani? Balozi zashituka Sitta kuandamwa Wa Sweden aenda hadi ofisi za CCM Msekwa aziandikia waraka kuzipoza Akiri NEC ilikosea taratibu BAADHI ya balozi nchini zimefuatilia taarifa za kikao kilichopita cha Halmashauri Kuu (NEC) ya Chama...
  8. K

    Mawasiliano na Ministry Of Natural Resources & Tourism

    Jamani wana bodi huu ni mwezi wa pili nimekuwa nikijaribu kuwasiliana na wizara husika lakini bila mafanikio. Labda nina namba za simu , fax na email address za zamani, lakini katika website yao contact details zao ni kama ifuatavyo, Ministry Of Natural Resouces ana Tourism Box 9372 Dar es...
  9. K

    Matawi ya CCM ndani ya vyama vya Upinzani

    Upinzani wa kweli hakuna Tanzania. Vyama vingi vya upinzani ni matawi ya CCM ama kuna watu wa CCM wamepandwa ndani yake. Ukombozi wa Mtanzania uko mbali sana. Angalieni upuuzi wa msomi na mwanasheria aliyebobea. 2009-01-19 DK MVUNGI AYEYUSHA RAI YA KUMSHITAKI MKAPA Written by...
  10. K

    Nyoka hupigwa kichwani

    Ndugu wanabodi, Napenda kutoa zangu shukrani kwa jitihada zenu za michango ya mawazo kwa lengo la kuijenga na kuitetea Tanzania. Kuna kitu kinanikera na naomba kukitoa wazi hapa JF. Vita ya kupambana na mafisadi katika nchi yetu sioni kama imeanza pamoja na kelele zote za wananchi kwa...
  11. K

    Ufuatiliaji

    Ndugu wana JF, Nimepata muda wa kupitia topic karibu zote hapa JF ingawa ni nyingi na ndefu. Nimeona wazi kwamba hiki kijiwe cha JF kina mchanganyiko wa watu wa aina tofauti, wenye vipaji na mtazamo tofauti lakini wengi wao 80% wana uchungu na Tanzania. Topic nyingi zimelenga katika...
Back
Top Bottom