Search results

  1. K

    Taratibu za kufungua "Branch ya KFC'

    Sijui ni kabila gani, lakini umetukosea adabu wanyakyusa.
  2. K

    Watu 12 wakamatwa kwa kula hadharani mchana Zanzibar

    Ni wanafiki tu hawana lolote.
  3. K

    Kuna haja gani ya muungano polisi kukamata wakristo huko Zanzibari wanaokula mchana?

    Kwaresma ilianza kabla ya Ramadhani. Waislamu hapa Zanzibar walikuwa wanakula na kunywa hadharani wakati wa kewaresma hakuna aliyewasumbua. kwanini Ramadhani ndiyo iwe spesho?. Kufunga ni wewe usihusishe na wengine. Hao wanaojifanya watemi kuwapiga bakora wanaokula mchana kuna siku mtaingia cha...
  4. K

    Watu 12 wakamatwa kwa kula hadharani mchana Zanzibar

    Tanzania haina dini, ila watanzania wana dini zao. Huwezi kumlazimisha kila mtu afuaate masharti ya dini yako. Kama wewe umefunga na mimi sijafunga hilo siyo kosa na huwezi kunilazimisha kufunga. Jeshi la polisi litumike kwa vitu vya maana na wala si kwa upuuzi huo.
  5. K

    Tuendelee au nimuache aende zake

    Huyo atakuumiza tena. Usikubali kurudisha urafiki na mtu aliyekuumiza kwenye pesa, mapenzi na character. Nyoka hujivua gamba la juu ya mwili wake ili awe mkubwa na mkali zaidi. Piga chini na kaa nae mbali. kwanini ujishushe kwa mtu mpuuzi kama huyo?
  6. K

    Mke wangu kapasua simu yake tena hii ni mara ya pili kisa hasira za kuchelewa kupokea simu zake

    Mkuu, yalishawahi kunikuta, hivyo nina experience. Mke wangu alishawahi kuvunja kioo cha gari langu kwa kosa la kutopokea simu zake. Mara ya pili alivunja TV. Nilimshushia kipigo cha mbwa mwizi. Ameacha kabisa siku hizi.
  7. K

    Mke wangu kapasua simu yake tena hii ni mara ya pili kisa hasira za kuchelewa kupokea simu zake

    Anajifanyisha na wewe umelea upuuzi. Siku moja akirudia upuuzi huo mkande makofi ya kijeshijeshi, hatorudia tena.
  8. K

    Kuna hatari nchi zote za Africa kuingizwa EAC

    Kibaya zaidi mpaka Somalia imejiunga wakati wasomali wanasema wao siyo waafrica bali ni waarabu.
  9. K

    Rais Samia aitisha mkutano wa dharura wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa

    Pumbavu kabisa. Wewe lazima utakuwa kubwa jinga.
  10. K

    Rais Samia akataa mwananchi kueleza shida kwenye mkutano, amtaka amfikishie kupitia mbunge

    Naona haikuwa sahihi. Kumuona Mbunge ili kumueleza kero ni ngumu sana. Na hata kufikisha kero kwa wasaidizi wa Mh Raisi wanaweza wasifikishe hizo kero kwa Raisi. Ingekuwa ni jambo la hekima kumsikiliza huyo mtu hapo Barabarani.
  11. K

    Motor Insurance Tanzania

    Niliweza kumcheki. Tumeanza maongezi
  12. K

    Motor Insurance Tanzania

    Asante sana, nitafanya hivyo
  13. K

    Motor Insurance Tanzania

    Ndugu zangu nataka kuweka Insurance kwenye mashine zangu za kilimo i.e Tractors. Ni kampuni gani nzuri kwa biashara kama hiyo?
  14. K

    Polisi wamgomea Lissu kufanya mikutano Ngorongoro, yeye asema ataenda kwani sehemu hiyo sio Gereza

    Mbona hakuna tatizo kabisa. Ni kuomba vibali UAE fastaaaaa
  15. K

    Tetesi: Huenda Waziri mkubwa akaachia ngazi wakati wowote

    Usijiuzulu hata kidogo. komaa tu jifanye hamnazo. Labda akufukuze kitu ambacho hawezi maana italeta picha mbaya. Mama ana wasiwasi mkubwa na team JPM (Ndugai, Majaliwa, Bashiru, Polepole na Sukuma Gang). Ukijiuzulu mwenyewe yatakukuta kama yale ya Ndugai.
  16. K

    Putin anaionya ECOWAS kama nani? "AU" kemeeni huu upuuzi. Afrika sio Crimea

    Putin katoa onyo. Ecowas watakutana na cha moto huko Niger. Wagner group wana wasubiria.
  17. K

    Rais Samia: Serikali haijafunga mipaka kuuza mazao nje ya Nchi

    Naomba Serikali iangalie bidhaa zinazoagizwa toka nje ya nchi. Kwa mfano mafuta ya kula toka nje ya nchi, serikali iache kuagiza ama mafuta hayo yatozwe kodi kubwa ili kumpa unafuu wa soko mkulima wa alizeti wa Tanzania. Alizeti imeshuka sana bei mwaka huu sababu kubwa ni kuingiza mafuta ya kula...
Back
Top Bottom