Search results

  1. boja

    Half Engine 4E ya Toyota Starlet inahitajika

    Mwenye Half Engine 4E ya Starlet anicheck inbox ama hata kama ni Engine nzima anichek Inbox tuyajenge.
  2. boja

    Tetesi: Serikali kujipatia Tender yenyewe....

    Habari wakuu.. Nimejaribu kufuatilia uvumi wa Serikali kuanza kujipa tenda mbalimbali zikiwemo za ukandarasi 1.kuna zile Hostel za Udsm Serikali imejipa tenda yenyew.... 2.Kuna ujenzi wa NHC nako Serikali imejipa Tender yenyew... Sasa swali hivi huo mzunguko wa Pesa utatoka wapi ile hali pesa...
  3. boja

    Nyumba Za South Africa kweli ni Bei Rahisi?

    Natumai wanajamvi baada ya weekend ndeeefu kua ukingoni na kesho tunaendelea na majukum kama kawaida Jamani mie nina Swali langu kama kichwa cha Habari kinavyojieleza hapo Juu. Hizi Nyumba za Soth africa ambazo Naoana Diamond na Doctor Mwaka wamenunua uzuri wake na Bei kama haviendani...
  4. boja

    Fedha za maafa ya tetemeko la Bukoba ziko wapi?

    Habari za mchana wanajamvi, Poleni kwa msiba wa Bw. Samwel Sitta Mungu amlaze Mahala Pema Peponi. Amen. Najitoza kwenu kuhoji juu ya mabilioni ya pesa yalichangwa na wahisani mbalimbali kutoka na maafa ya yaliyotekea Kagera/Bukoba kwa ajili ya Tetemeko. Tuliona matajiri waliitwa na kamati ya...
  5. boja

    IPP media ni kweli mlizuiwa jana kuripoti Uchaguzi wa Umeya Kinondoni?

    Katika pitapita zangu leo asubuhi ili kupata news nimekutana na hii. Eti jana IPP media na Channel 10 walizuiliwa kuripoti tukio la uchaguzi wa Umeya Kinondoni na Mkurugenzi wa Halmashauri walipohoji wakaambiwa kuwa Mkurugenzi amepata agizo toka Juu. Je ni kweli?
  6. boja

    Hivi ukisafiri na ndege ni lazima uwe na begi lenye matairi?

    Jamani wanajamvi naomba mnisaidie, "Hivi ukisafiri na ndege lazima uwe na begi la kuvuruta i mean lenye tyre?" Mara nyingi huwa nafika Airpot za hapa kwetu hususani za Mwanza na Dar. Sas ambacho hua kinanishinda ni pale kila anaeshuka ana begi anavuruta mpaka huwa najiuliza ama kuna sehemu...
  7. boja

    Nina wasiwasi juu ya usahihi wa taarifa ya Kamanda Sirro kuhusu majambazi wa Mbande

    Nina wasiwasi na kamanda Sirro juu ya idadi ya majambazi waliovamia jana usiku CRDB Mmbande. Kama Sirro amesema majambazi yalikuwa 14... Maswali ya kujiuliza. 1.Nani alimpa hiyo idadi?, nani aliwaona wakati walikuwa wakirusha risasi mfululizo na kotokana na hali hiyo lazima wananchi wote...
  8. boja

    Uteuzi wa Kitwanga kua waziri wa Mambo ya ndani MAGU alifumbwa macho??

    Hope Jmosi iko sawa kabisa. Binafsi nina wasiwasi sana na swala la Uteuzi wa kitwanga kua waziri wa mambo ya ndani. Nahisi hili swala MAGU alipenyezewa na wapiga deal pasipo kujua kilicho nyuma ya pazia. Najiuliza mawaswali mengi sana. 1.Kwanini Kitwanga akawekwa wizara ya Mambo ya ndani akati...
  9. boja

    Vietnam na Halotel v/s Tanzania

    Katika pita pita zangu na maongezi na watu...niliweza pata ongea na asst manager wa Halotel lakezone side. Alinieleza mengi ila cha ajabu akawa anashangaa sana kwanini nchi yetu ni tajiri lakini bado ni masikini akasema kwa mfano. pesa yetu ni kumbwa ×10 ya kwao ila wameweza wekeza nchi...
  10. boja

    mgeni wenu mie...!

    naingia humu rasmi ili kuweka mind za wa2 sawa na kuwapa vidonge vyao wale ote ambao niwafinye wa kufkria...ahsanteni
Back
Top Bottom