Unajua nyie misukule wapumbavu sana.
Hivi akili yenu ni kwamba asie chadema ni mjinga?
Nani alikuambia Kalenga ni wanachadema?
Wakati mwingine muwe mnatumia ubongo kufikiri sio kutumia makalio kila wakati
Sisi kwa kuwa ni jukumu letu kuwaamsha mjitambue inabidi tuendelee bila kukata tamaa kama unionavyo hapa pichani nikimuosha mmoja wa makamanda pale Arusha mjini ili atokwe na pepo mchafu aitwaye chadema
Umeona mkuu, jamaa hawana sera kwa hiyo wameona njia pekee ya kujipatia umaarufu ni vurugu, kuua watu kufanya maandamano na kulalaamika serikali inataka kuwafanyia mbaya
Hawa jamaa ni sawa tu na wale rebels wa Syria ambao ndio wanaoongoza kwa kuua raia lakini kila kukicha wanalalamika ni serikali
Wandugu wanajamvi
Hivi hawa CHADEMA mbona nakuwa siwaelewi sasa,Kila kukicha hapa utakuta thread za mara CHADEMA wameleta vurugu bungeni, mara mbunge fulani kasababisha vurugu na kukamatwa , mara Dj anasema tuandamane nchi nzima , mara Dr alikuwa anafuatiliwa na watu barabarani, mara Zitto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.