Search results

  1. N

    Wanaume wanaojitambua bado wapo

    Nimekuwa nikikutana na wanaume ambao hawana heshima kwa wanawake hata umnyenyekee vipi.. na sio hivo tu bora basi hata kitandani awe vizuri hajui kitu, Ila dharau na jeuri vimemjaa hana heshima kwa wanawake.. Maringo utadhani mwanamke,unamtumia msg hajibu,simu hapokei,..mimi nikadhani ndio...
  2. N

    Called for an Interview-Clalon Technologies

    Habari wana JF Mimi nimepigiwa simu jana na hawa watu interview ipo jumatano posta house opposite na wizara ya mambo ya ndani ,naomba kuuliza kama kuna yoyote kaitwa au kama kuna yoyote ana information zozote, niliapply last year november accountant and admnista officer
  3. N

    Anaejua Updates zozote za NIMRI

    Please wana JF, kuna kipindi nimri walitoa nafasi za kazi naona kimya hata sijajua mchakato uliendaje,kama kuna yoyote anafahamu naomba unisaidie kujua.
  4. N

    Ya kwako lini?,nachukia sana swali hili

    Jamani wana jf, Mimi ni msichana nipo single sasa takribani 4 months,nakwazika sana nikiulizwa mimi naolewa lini?ukiangalia hata mchumba sina halafu mtu anakuuliza hivi we unaolewa lini mbona wenzako wanaolewa tu!! Kwani ndoa imekuwa fashion??hebu acheni kuuliza watu hilo swali linakera sana...
  5. N

    Nenda kaka,hukunipa nafasi niliyostahili

    Napenda kuchukua nafasi hii kukuaga wewe ambae ulianza kuniingia moyoni na nikaanza kukuonyesha mapenzi yangu ya dhati na niliamua kabsaa kubadilika baada ya kunionyesha kunipenda na kuwa na future na mimi katika kupanga maisha pamoja cha ajabu sivyo kama nilivotegemea,leo hii naanza maisha...
  6. N

    Niishi vipi niweze ku enjoy kuwa single??

    Habari zenu wana jf, jamani napenda kuja kwenu mnishauri,natamani niwe single,na nina wasiwasi kwamba ntakuwa sina furaha kwa kukosa company kama mawasiliano na outing za pamoja na mpenzi,je nnaweza kuishi vipi nifurahie maisha ya kuwa single kwani nina muda mrefu sana tangu nilipokuwa...
  7. N

    kwanini jamani wanaume mnafanya hivi???

    dears,mi swali langu ni kwa wanaume na kwa kina dada ambao huwa wanapata shida kama ninayoipata mimi kwa sasa na mara kibao imeshanitokea,unakuta mwanaume akiwa anakutongoza anakuwa yupo hewani muda wote,anapiga,anatext msgs,yani kwa kifupi communication inakuwa ipo juu....anaweza akafanya hvo...
  8. N

    Nani wengi zaidi kati ya wanaume na wanawake hawapo kwenye mahusiano

    dears,pls kwa wanawake na wanaume nataka kujua wapi kati yetu wengi tupo single zaidi ya wengine....coz nahisi kama rate ya wasichana tulio single tupo wengi zaidi ya wanaume hadi naanza kuogopa kama kuolewa kutakuwepo au ndo itakuwa ndoto au wakristu nao itafikia hatua ya kuhalalisha ndo ya...
Back
Top Bottom