Search results

  1. Kichancheda

    CCM: Chuo cha Dodoma kiitwe JK University

    Nani kakudanganya idea ya UDOM ilianzishwa na Kikwete? Unasahau pia ujenzi wa UDOM ni michango ya hifadhi za jamii ambapo bado kuna ugomvi mkubwa wa namna ya kuzirudisha? Utawala wa kikwete hakuna jema kubwa analotakiwa kuenziwa jina lake (Ni ktk utawala wake amani haipotena, Wizi mkubwa wa...
  2. Kichancheda

    Top TEN walipa KODI KISEKTA, No Voda, AZAM wala Lake Oil/Kobil/RIZ-One.

    Mimi kichwa kina uma hapa, wako wapi Tigo, voda, airtel na wengine? hata mimi nina ugonjwa huohuo kwenye red! Kwa michanganuo na taarifa za mwaka (annual finacial report) za makampuni ya cm TZ ni siri???? kama ni siri , je Taarifa za kodi zao pia ni siri????? Hili linchi linanuka nuka rushwa...
  3. Kichancheda

    Kagasheki: Vigogo wanahusika biashara ya pembe za ndovu

    KHAAA! Unafananisha na daladala?? Hakuna mtu mdogo mwenye ujasiri wa kufanya biashara ya hatari kubwa kama hiyo.Mali za MABILIONI tena yanavyuka mipaka yenye kila aina ya ukaguzi! Hatakama unamapenzi na serikali ya ccm jaribu hata kufungua akili zako za akiba! Sio ushabiki kwa maslahi yako hizi...
  4. Kichancheda

    Jenerali anauliza: Kwanini walewale?

    Hii ni chain. wezi wa rasilimali life cycle
  5. Kichancheda

    TRA Customs automated system

    Nilimaanisha hizo kasoro ni za kufanyiwa kazi haraka, Na sio kutake adavantage kuwa kusiwepo na hizo system.Pia sikumaanisha technolojia inapunguza watu nilimaanisha Technolojia inadhibiti wizi.Mfano zamani mabenki yalikuwa yanafanya shughuli zake mannualy, wizi ulikuwa mkubwa.TRA walmetuletea...
  6. Kichancheda

    Sakata la kuficha Mabilioni Uswisi lachukua Sura mpya

    Watazunguka kila kona na kila misamiati lakini watanzania hatutawaelewa.Tatizo kubwa kwenye hii kashifa inahusu maraisi na mawaziri.Ni chombo gani huru cha ndani kitakachoweza kushughulikia hii scandal?
  7. Kichancheda

    Sakata la kuficha Mabilioni Uswisi lachukua Sura mpya

    Kwa taarifa yako Duniani hakuna usiri wa zaidi ya mtu mmoja hasa zikihusishwa na mambo ya kisiasa!Taasisi za fedha duniani ni watu na sio JIWE au CHUMA useme hawaoni,hawasikii au hawatendi.
  8. Kichancheda

    Raha ya utamu people!!

    oohhshshhh! oh mh haaaaa uuuuuuuwwwwwwwiiiiii ohh hhhuui
  9. Kichancheda

    Mtu mwenye AKILI ni yupi!!!

    Kila binadamu amezaliwa na akili. Ila Mtu mwenye akili zaidi ni " PROBLEM SOLVER faster and accuracy" Mtu anayeweza kutatua mambo mbalimbali kwa ufasaha na haraka (Kielimu, Kimaisha etc) Ndio maana watu watu husema anaakili kama computer
  10. Kichancheda

    Kikwete anazeeka haraka, kulikoni?

    JF inamzeesha.Akiingia humu kusoma comment zote zinampinga ni moja au mbili tuu zinamtetea nyingine zote zinamletea msongo wa mawazo
  11. Kichancheda

    TRA Customs automated system

    Hii mifumo ya kitechnologia (Automation) kwenye idara za serikali imekata maulaji ya waajiriwa wengi.Ni lazima waikosoe na walie nayo.Kila kitu kikiwa kwa system mwanzoni kinausumbufu ila mtazoea tuu baadae mtakuwa kama nchi nyingine.Mannually serikali inaibiwa sana na usumbufu kwa wateja pia.
  12. Kichancheda

    Ushauri- kushtaki daktari mzembe

    Wala usijisumbue sana, Labda kama wewe ni Dr au Unandugu yako mwenye taaluma ya udaktari.Anayeweza ku establish kuwa daktari ni mzembe ni watu wenye taaluma hiyo Na nafahamu pia wanalindana sana.Unaweza ukapewa lundo la misamiati ya kitabibu juu ya kifo cha mgonjwa ambayo hutakaa uelewe.Kwa nchi...
  13. Kichancheda

    Priorities of president Kikwete!

    I dont think if we real need smiling face ! Development is our first priority!
  14. Kichancheda

    EXCLUSIVE Interview with Zitto Zuberi Kabwe at Jamii Forums [Coming Soon]

    Kwanini Zitto anaongozwa na falsafa ya KUJIJENGA YEYE BINAFSI kisiasa? Anaugonjwa mkubwa wa kutofanya kazi kama TEAM WORK. Kauli na matendo yake haweki link yeyote kwa kukuza Chama chake.
  15. Kichancheda

    Je Kuna Ukweli Wowote?

    Itategemea yuko exposed na vishawishi kiasi gani!
  16. Kichancheda

    hizi enzi unakumbuka?

    Baadae unasikia ni waziri, kwani asiwe fisadi
  17. Kichancheda

    Hapa Lowassa hatoki...

    kama hapo kwenye njano ndiVyo! ,swali la kizushi VIPI HAPO KWENYE RANGI YA SHATI LAKO LA KIJANI (ni gamaba au).
  18. Kichancheda

    JK ni genius, Matukio yote ni Upepo tu na yamepita.

    Wewe ungeshaurije nini kifanyike ili yasipite?
  19. Kichancheda

    hii ndiyo kampuni ya Abdulrahman Kinana

    Wandugu naomba msome hii taarifa ndio mjue nchi yetu imeoza KAMPUNI ya uwakala iliyosafirisha kontena lililokuwa na meno ya tembo ambayo yalikamatwa nchini Vietnam, inamilikiwa na Mjumbe wa Kamati Kuu (CC) ya CCM, Abdulrahman Kinana, imefahamika. Taarifa zinaonyesha kuwa Kinana anamiliki hisa...
Back
Top Bottom