Search results

  1. T

    Ushindi wa CHADEMA Daraja mbili (Arusha) ni salaam kwa Lowassa

    Wananchi wa kata ya Daraja 2 Arusha Leo wamemjibu Lowassa kwa vitendo baada ya majigambo yake kwenye uchaguzi wa CCM kuwa sasa baada ya kuweka vinyago wake kwenye uongozi Arusha mjini na mkoa eti sasa CCM itashinda Arusha. Ameumbuka baada ya CHADEMA kuibuka kidedea kwenye uchaguzi wa udiwani...
Back
Top Bottom