Lubuva kama Mwenyekiti kazi yake ni kutangaza matokeo yaliyoandaliwa na mkuu was IT. Kama wamemwondoa Huyo boss wa IT mjue hilo ni bao la mkono tayari. Mwenye nguvu ni boss was it kama mlikuwa hamjui. Mtalishwa maneno matamu na kupongeza kitu msichokijua
Kinachofanyika Halmashauri ni ujumlishaji wa kura zilizohesabiwa vituoni. Hakuna sanduku linalofunguliwa kwenye Halmashauri vinginevyo kama kuna sanduku lenye utata toka kwenye vituo. Msipotoshe
Hawa jamaa wa puma na ihanja pamoja na kuwa wako jimbo la singida magharibi kwa misanga walishamtangazia misanga kuwa hawautambui utawala
wake na wao wanamjua mbunge wao kuwa ni TL. Wana msimamo sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.