Search results

  1. Alfred123

    Utumishi

    Wadau ivi ukifanya interview ya oral Ni baada ya muda gani wanatoa majina ya kuitwa kazini?
  2. Alfred123

    Msaada: Interview Utumishi

    Thanks.sana mkuu nimekuelewa..
  3. Alfred123

    Msaada: Interview Utumishi

    Habarini wakuu.. Tafadhari aliewahi kufanya written interview Utumishi hivi karibuni zinakuwaje? Manake kila mtu anasema yake tafadhari naombeni nisaidieni.
  4. Alfred123

    Urgent!!!mining engineer anahitajika!

    Wadau habarini!Kwa yoyote mwenye ndugu yake ambae ni Graduate mwenye experience ya Blasting kwa miaka mitatu na zaidi anahitajika haraka sana kwa kufanya kazi kwa muda. Kazi yenyewe iko Rwanda Kwa hiyo mwenye nia ya kwenda kufanya kazi kama Mining Engineer in Blasting please This is my email for...
  5. Alfred123

    Zitto aanika siri nyeti za Mbowe! Adai hatakufa kama Chacha Wangwe...

    Hakuna point hata moja wote wehu tu chadema...Hawajielewi
  6. Alfred123

    Transcript

    Roger that wakubwa nimeelewa poa....
  7. Alfred123

    Kiwango cha mshahara state mining cooperation(stamico)

    Wadau stamico wametangaza kazi tangazo tumeliona...lakini naombeni kwa anejua kiwango cha mishahra by figures kwasababu wametoa scale zao kama hizi SMC 2 SMC 3 SMC 4 SMC 5 SMC 6 SMC 7 Jamani naombeni msaada kwa hilo wakuu!!!
  8. Alfred123

    nafasi za kazi STAMICO

    Kaka ahsante sana ..nimeziona especilly document B..inanihusu sana....
  9. Alfred123

    Transcript

    Jamani kuuliza si ujinga..Nimekuwa nikisumbuliwa na watu wengi juu ya neno "TRANSCRIPT"naomba kujua zaidi maana yake especially kwa wahitimu wa vyuo mwaka huu ambao hawana vyeti....
  10. Alfred123

    Engineer kuongoza chuo cha biashara ni sahihi? Soma hapa

    Eng..kuongoza ni sawa kabisa Prof huyo anauwezo wa kuongoza vizuri sana namjua fika,,,To be an Eng doesn't mean you can not rule the college
Back
Top Bottom