Search results

  1. C

    Tembo wetu wanaangamia, waziri kagasheki chukua hatua kali

    Ni mawazo mazuri sana ndugu Nero, Asante sana kwa mchango wako unojaribu kutoa way foward, tusubiri labda wataalam kutoka idara hiyo wanatuambiaje. Kweli watanzania hii ni aibu kubwa lazima tuchukue hatua.
  2. C

    Tofauti ya FISI DUME na FISI JIKE kwenye maumbile ya mifumo wa uzazi

    Kwa wale mliopo maeneo ya vijijini au maeneo Fisi wanapatikana, unaweze pia tofautisha fisi dume na fisi jike kwa SAUTI, FISI Jike anatoa sauti iliyofanana na KICHEKO cha binadamu, wakati dume sauti yake ni ile ya Huuuuuu!!huuuu.. Hii pia nilipata kutoka kwa bwana Topi.
  3. C

    Tofauti ya FISI DUME na FISI JIKE kwenye maumbile ya mifumo wa uzazi

    Mtalaam Topi kumbe upo humu, walahiiiih tumegongana uso kwa uso ndani ya JF. Nadhaani mimi ndiye nilyekufanya upost hii thread humu baada ya kukuuliza maswali mengi husu fisi, hakika ni wewe mtaalam, wape yote yale uliyonipa na mimi mwaga mavitus mtaalam. I salute you Topi. Uko poa.
  4. C

  5. C

    Game Officer amenitoa ushamba ni kuhusu FISI DUME NA JIKE

    Kwa muda mrefu nimekuwa nikihangaika kujua kama kuna fisi dume na jike kama watu wengi wanavyoamini kuwa FISI ana maumbile ya kike na dume. Nilijaribu kupita na kuuliza kwa wataalam wanaofanya kazi ktk HIfadhi za taifa na mapori ya akiba lakini wengi wamekuwa wakinipiga kalenda kuwa watanieleza...
  6. C

    Hodi Hodi wanaJF

    Awali ya yote napenda kuwasilimu wote wakubwa kwa wadogo, shikamooni/vipi wandugu. Mimi ni mgeni ktk jukwaa hili hivyo naomba ukaribisho wenu. Natumai nitapata mengi mf kuelimika na kuhabarika kupitia kwenu. Ushirikiano nitawapa kwa asilimia zote. Asanteni
Back
Top Bottom