Hili nalo ni neno nafikiri tunajifunza mambo mengi pamoja na serikali kuboresha maisha ya wabongo kwani gap kati ya walionacho na wasionacho ni kibwa na linazidi kukuwa siku hadi siku vijana watakimbilia wapi
Dk. Hosea ana kazi kubwa ambayo ni kuelimisha umma kuhusu Rushwa. It seems watu hawajui chochote kuhusu chombo hichi,siri ya mtungi anaijua kata. kaeni chini mfikiri baadae ndo muongee
Jamani bila shaka mmenikaribisha, na nashukuru nategemea tutakuwa pamoja kujadili kila linalo jili katika ulimwengu huu wa PANGU PAKAVU TIA MCHUZI........TEHTEH
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.