Search results

  1. P

    Ruling Kuhusu Kesi ya Lema ni Leo!!

    mungu atamsaidia atashindatu ata kama hatoshinda basi arusha itabaki ya chadema tu
  2. P

    Lowassa azungumzia afya yake, Rushwa katika Chaguzi za CCM...

    kwanza pole sana kwa tatizo la jicho lako mungu atakusaidia utapona nakurudi nyumbani salama 2.. hongera kwa kauli nzuri hiyo ya kukemea rushwa kwani tunaitaji mtu mwenye maamuzi magumu kama yako na wewe ndio tegemezi letu saivi atakama nipo chadema mim nakupa kurayangu kuniongoza...
  3. P

    Hongera Dr. Mwakyembe, hongera TRC

    duu mwakiembe kweli mungu alijua wewe ndie mkombozi wetu ukapona natunazidi kukuombea hilo treni linavyo tutia mzuka mungu wangu huyu ndie anatakiwa awe raisi atatuletea ndege kweli nimelipanda leo daaaaa kama mbele vile ubarikiwe kiongozi wetu
  4. P

    Mbowe kutumia gari la serikali kwenye kampeni ni sawa?

    acha unafiki ndugu unakua kama sio mzalendo tumia wewe basi kama unaona mbowe anafaidi wewe usiruke mkoa wakilimanjaro tutaondoka nashingo yako na nikwanini usimpige picha kama sio umbeya >?
  5. P

    peter kilawe

    hongera serekali kama hii tarifa ya kurejesha nyumba zilizouzwa zirejeshwe basi hapo nijambo la maana ila inabidi waliouza nao waazibiwe kwani saivi serekali wanapata tena hasara kuzinunua tena upya
  6. P

    Historia ya kweli ya maisha ya Sheik Ponda na Fareed ni muhimu

    hili sio li tz kama sio lahapa uhamiaji mrudisheni nchi aliotoka ama sio tutamaliza
  7. P

    Kikwete bila Lowassa ndiyo maana amepwaya!?

    mimi kama mimi peter kilawe nachojua lowasa nimtu ambae atatuondoa ama kutukomboa hapa tulipo namkubalisana jiulize istoria ya nyuma dawasa mwekezaji alipewa masaa mangapi .?awe ashaondoka hapa nchini? lowasa lowasa kurayangu nakupa namkubali mmno
  8. P

    peter kilawe

    mr makongoro mahanga sisi na wapiga kura wako watabata kagibu na chuo cha sent mary hii barabara imekua shoti kati sana kwa watu wanao enda mawezi ama segerea je nilini utatukumbuka kwa kuipanua nakuipiga lami ?
Back
Top Bottom