Search results

  1. H

    Mwenza wa maisha (Mume) anahitajika

    Nashukuru kwa ushauri, na kila ninachofanya m/mungu ndio kiongozi wangu, kabla sijaipost hii kamba niliomba m/mungu anisaidie.
  2. H

    Mwenza wa maisha (Mume) anahitajika

    Asante
  3. H

    Mwenza wa maisha (Mume) anahitajika

    Si tamaa, mara nyingi mume anapokua na elimu ndogo, kumuelewesha/ kufanya maamuzi ni shida kitu hata kama kina faida anaona unamdharau, samahani kwa kukukwaza.
  4. H

    Mwenza wa maisha (Mume) anahitajika

    Thank you
  5. H

    Mwenza wa maisha (Mume) anahitajika

    Nakushauri ufanye maamuzi, kuishi bila dini ni hatari,
  6. H

    Mwenza wa maisha (Mume) anahitajika

    Nasikitika hukua makini wakati unasoma huu ujumbe, niqab wanavaa wanawake nami ni mwanamke, unamaanisha nitafute mwanamke mwenzangu?
  7. H

    Mwenza wa maisha (Mume) anahitajika

    nasikitika hukua makini wakati unasoma huu ujumbe, niqab wanavaa wanawake, nami ni mwanamke, inamaana nitafute mwanamke mwenzangu?
  8. H

    Mwenza wa maisha (Mume) anahitajika

    Habari zenu wana JF. Jamani maisha ni safari ndefu na yanahitaji ustaamilivu na ujasiri. Napenda kuchukua fursa hii kwa mara ya kwanza kujitokeza katika jukwaa hili ili kuweza kupata mwenza ambae atakuwa mume kama M/mungu ataleta heri. Kwa aliye na nia ya dhati haswa naomba tuwasiliane kwa...
Back
Top Bottom