Search results

  1. Y

    Renatus Mkinga na Mtikila live Star TV: Suala la afya za wagombea laongelewa

    Chedema walijua goli la mkono ni kuiba kura!kumbe goli la mkono nikuwapa gunia la misumari (lowasa)ngoma haibebeki.
  2. Y

    Sehemu ya kwanza ya Madudu Yaliyonikimbiza CHADEMA, Kesi ya UBAKAJI/RAPE inayomkabili LEMA UK

    Jamani kwani Lema kajificha wapi mpaka polisi washindwe kumkamata, au intelijensia ya Tanzania haina ushirikiano na ya UK? Vitu vya kutunga tuwe makini ,unaweza kudhani unamchafua mtu kumbe unamuongezea umaarufu kama alivyofanya Mkuu wa Mkoa Arusha
  3. Y

    CHADEMA taifa vipande vipande! Soma barua hii ya Zitto

    Jamani kuweni makini ,Hii barua ni ya kughushi mnaumiza vichwa vyenu bure kwa kujibu na kuchangia kitu cha kutunga, Hivi kweli barua ya kiofisi ndivyo inavyoandikwa bila kumbukumbu wala kusainiwa? Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
  4. Y

    Mke wangu ananichanganya

    Mimi hapo ndipo ninapowapenda Waarabu, mwanamke hakuna kufanya kazi, tofauti na kuniburudisha na kuzaa. Ona sasa mmekaa miaka mingi kwa amani lakini kupata kazi tu mbwembwe zinaanza, Achisha kazi na endelea kuchapa mimba, hakuna kutoka ndani hata kwenda dukani ,nyaambafu!! Sent from my...
  5. Y

    Nani yupo sahihi?

    You are wright Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
  6. Y

    Makarani waislamu wa tume ya katiba wanachakachua maoni ya wakristo.

    Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
  7. Y

    Jee mtafuata mkondo na hili?

    Ha ha ha aa msishangae tunajitahidi na sisi ,tunakaribia kuibadili fiesta kuwa carnival ,mambo huanza taratibu
  8. Y

    Picha za watoto wakiwa swimming pool

    Jamani mbona hizo picha hazina tatizo labda mletaje a point out kuwa ni nini cha kushangaza maana wote wako katika hali ya kuogelea na pia kuna aina tofauti za swiming costume
Back
Top Bottom