Search results

  1. F

    Nahitaji mchumba Sio masihara

    Dah kumbe tunatofautiana sn kufikiri, Kama mtu ambaye ni msomi (kama haukudanganya maana hii mitandao) anaweza kutoa tangazo la kutafuta mchumba hapa jm, Its tiresome! Hongera Bana.
  2. F

    Ushauri wa bure kwa vyama vya siasa hasa CHADEMA

    Vyama vya siasa mnatakiwa kuwa makini sana na hawa watu wanaokosa madaraka na kuhamia chama cha siasa kingine. Mara nyingi hao watu hawapo kwa maslahi ya Wananchi, wapo kwa maslahi yao binafsi. Mfano mzuri ni Shibuda. Kwa mtu yeyote anayefuatilia siasa utagundua tu yule mtu si kwa ajili ya...
  3. F

    Bodi ya TANESCO yaamua kumtimua kazi Mhando!

    Huyu Eng alikuwa kero kubwa sana kiasi kwamba migao yote ilikuwa sababu yake na umeme wa dharura ulikuwa sababu yake pia. Ingekuwa china angenyongwa, Kwa vile ni bongo bora afikishwe mahakamani ili apunguze fedha zake za ufisadi hata kwa kuhonga au kuwalipa mawakili.
  4. F

    Wapinga nauli ya treni ya 700 na 800/=

    Bila kuambiwa umbali ni ngumu kusema kama nauli ni kubwa ama la...naona tumeshakuwa wapinzani wa kila kitu...How can we judge fares without references to distances? Yaani wewe ndo umefikiri. Inaweza kuwa 700 au 800 kwa siku nzima kwa maana ukishakata ticket we unasafiri tu kwa sku nzima...
  5. F

    Marafiki wa kudumu wanaisaidia nini tanzania kama si kunyonya?

    Mkubwa ukifikiri sn na ukajaribu kudadavua jinsi nchi inavyopelekwa unaweza kukaa chini ukalia sn. Cake ya nchi hii inaliwa na watu wachache sn na ambao hawafanyi kazi za kuendeleza nchi ndomaana inatuuma sn. Ukifanya kazi ukala angalau basi tutafumba macho. But hii mijitu ni kukusanya tu bila...
  6. F

    Wabunge wageuzia kibao Takukuru

    Hii nchi haina usawa hata kidogo. Unapofikiria kuondoa rushwa unatakiwa kufikiria kwanza kujenga mazingira ya kuondoa hiyo rushwa kwa wala rushwa. Jaman hebu tujaribu kuchangiana mawazo kidogo juu ya mifumo ya Tanzania. Inapotokea serikali moja kuajili watu wenye elimu sawa katika taasisi mbili...
  7. F

    Nakusudia kuwafikisha Mahakamani Lowasa, Membe na Sitta

    Tz kila mwananchi ana hold bachelor ya siasa. Ok all the best.
  8. F

    Waziri Mulugo: Tanzania ilitokana na muungano wa visiwa vya Pemba na Zimbabwe

    Yaani vijana tusipo inusuru Tanzania kwa haya yanayotokea cjui tutakwendaje! Naibu waziri wa elimu anaaibisha Taifa kiasi hicho vipi layman? Its terrible 4 sure. Inasikitisha sn. Jk badilika tumechoshwa na hizi aibu jaman duh.
  9. F

    CHADEMA waweka bayana msimamo wao juu ya yaliyowasibu ma-Sheikh Ponda na Farid

    Jaman CDM hivi kipi bora Mponda ashikiliwe machafuko yaishe au aachiwe machafuko yaendelee? Ss nchi imekwisha kama hata wa2 tunaowategemea kusema ki2 cha kuleta amani wanachochea machafuko hali ni mbaya. Hebu jaribuni kuongea mambo ya maana na sio uchochezi kwa nia ya kuwarob watu flani...
  10. F

    Tanzania Applications for the 2014 Masters Awards are now open - AUSTRALIA

    Yaan kama Agent ni Public Service Management uchuro mtupu. Niliwahi kupeleka Applictn yangu kabla ya deadln wakachomoa kwamba hawapokei tena. Ilinikera sn.
  11. F

    Kova: Wafuasi wa Ponda wajisalimishe Polisi; watakamatwa, uvumilivu umekwisha

    Duh kweli utata mtupu. Jamaa watasumbua sn but kova nakuamini fanya kazi uliyotumwa na serikali.
  12. F

    Picha: Maaskofu watoa tamko kuchomwa kwa makanisa jijini Dar es salaam

    Kwa hali hii ss itafika point wakristo watachoshwa na matendo wanayofanyiwa na wenzetu waislam na hapo ndipo nchi itakapoingia kwenye machafuko. Kama ni dharau wenzetu wametudharau vya kutosha kiasi kwamba ss wanatuwekea vidole machone. Mm nashukuru serikali kwa hatua zinazoendelea kuchukuliwa...
Back
Top Bottom