Search results

  1. T2015CCM

    Kasi ya Lugola inadhihirisha udhaifu wa Mwigulu alivyopwaya

    Ndugu zangu wana JF, habari zenu. Hii kasi ya mshkaji wa mambo ya ndani kwa kweli inamaanisha jambo kubwa sana. Inaonyesha wazi na dhahiri kabisa kwamba Mwigulu alipwaya na hakuitendea haki nafasi ya waziri wa mambo ya ndani. Hata mh Rais hakukosea kubadilisha safu yake ya ushambuliaji na...
  2. T2015CCM

    Serikali yatenga mamilioni kujenga ufukwe wa Coco uliopo Dar es Salaam kisasa zaidi

    Imetamkwa mubashara hivi sasa kupitia kwa Waziri Mkuu wa Tanzania akihutubia hadhara ya watanzania waliojitokeza kufanya usafi maeneo ya osterbay na masaki hadi coco beach Jijini DSM kuadhimisha siku ya mashujaa waliopigania Nchi yetu hata kupoteza maisha yao. Waziri Mkuu amesema kuwa Serikali...
  3. T2015CCM

    Kuelekea uchaguzi 2020, CCM inazidi kuimarika, CHADEMA inakufa,CUF inafutika, ACT inajikongoja

    Utafiti unaonyesha kuwa kwa kipindi cha miaka miwili na ushee tangu CCM iingie madarakani na kuunda serikali, chama hicho kimezidi kuimarika mara dufu zaidi tofauti na ilivyokuwa 2015. Utekelezaji wa ilani unaofanywa na Serikali yake, utatuaji wa kero za wananchi, ukaribu wa chama hicho na...
  4. T2015CCM

    CCM yaitendea Haki Singida, yampiga chini Hanje, kiherehere wa Nyalandu

    WALIOPITISHWA NA CHAMA KUGOMBEA UENYEKITI WILAYA ZA MKOA WA SINGIDA. A. SNGIDA MJINI 1. Lucia Mwiru 2.Hamisi Nkulungu 3.Athumani Fimbo 4.Kundya Rajab Kundya B. MKALAMA 1.Hawa Mawele 2.Dr Charles Mgana 3.Mpazi Paulo 4.Lameck Itungi C. MANYONI 1. Geofrey Caratta 2.Jumanne Makhanda 3.Elia Nolo...
  5. T2015CCM

    Kati ya Mbowe, Lissu na Lowassa, nani anafaa kuwa rais?

    Hivi karibuni kulikuwa na mada hapa ikielezea aina za chadema zilizopo sasa hivi, ilitajwa Chadema asilia, chadema madaraka, chadema CCM, chadema masalia nk. leo ningependa tuumize vichwa kujua hivi ni nani hasa ambaye endapo chadema itamsimamisha kugombea urais ataweza kupambana ipasavyo na...
  6. T2015CCM

    Wakenya malizeni yenu wenyewe, msianze kutafuta mchawi. TZ tunahangaika na yetu

    Huo ni ujumbe muhimu sana kwenu jioni hii. TZ haihusiki na figisu zenu, ibianeni, piganeni fanyeni yote mmalizane salama, msitafute mchawi. sisi na yetu na nyie na yenu. kila mmoja na lwake
  7. T2015CCM

    Hizi hapa sababu za madiwani wa CHADEMA kujiuzulu nafasi zao

    Kama mada inavyojieleza, sababu hasa ni ubabe, umangimeza, udikteta, umwinyi, umwamba na ubinafsi wa Mbowe na viongozi wengine wa kitaifa wa CHADEMA. Pia sababu nyingine ni utekelezaji bora wa sera na ilani ya CCM unaosimamiwa ipasavyo na rais aliyepo madarakani.
  8. T2015CCM

    CCM kuongoza Tanzania kwa karne nyingine ijayo

    Hili halipingiki na liko wazi, halina ubishi, halihitaji kujadili. Anayebisha hajielewi, tumsamehe bure. Ukweli ni kwamba, CCM kwa sasa iko kwenye peak kuliko wakati mwingine wowote ule, inapaa, inang'aa na inakubalika kila mahali, kila kona. Moja ya mambo mazito na makubwa ambayo ccm...
  9. T2015CCM

    Rais Magufuli aagiza wafungwa waanze kufanya kazi za uzalishaji mali magerezani

    ametoa agizo hilo katika hotuba yake akiwa katika ziara ya siku tatu mkoani pwani.amesema ni marufuku mfungwa kulala na kutoka gerezani akiwa na kitambi, wafanye kazi ngumu ili waogope kwenda kwenda huko, na wakienda huko gerezani wajifunze uchapakazi na pia wafanye kazi za uzalishaji mali...
  10. T2015CCM

    Rais Magufuli azindua barabara ya Bagamoyo Msata

    Ni live jioni hii kutoka Bagamoyo, rais wa nchi Dr. John Pombe Magufuli anazindua barabara inayotoka Bagamoyo hadi Msata yenye urefu wa km 63. hongera sana mheshmiwa rais. kwa sasa wananchi wanaotoka mikoa ya Kaskazini kuingia na kutoka Dar hawana ulazima wa kupitia Chalinze.
  11. T2015CCM

    Tetesi: Nape Nnauye kuhamia CHADEMA?

    NAPE KUHAMIA CHADEMA? TAARIFA za uhakika zinasema kuna mazungumzo ya mara kwa mara kati ya mbunge wa Mtama Nape Nnauye na baadhi ya viongozi wa Chadema wakimshawishi kuhamia chama hicho. Mmoja wa viongozi hao ni Edward Lowassa jambo ambalo tayari mwenyewe amethibitisha kupitia mkutano wake...
  12. T2015CCM

    Zitto anatapatapa, sasa naelewa kwanini alifukuzwa CHADEMA

    Nimemsikiliza Zitto Kabwe wakati akichangia bungeni asubuhi kuhusu matukio ya watu kutekwa na kupigwa. Moja ya matukio aliyozungumzia ni kuvamiwa kwa mwandishi Absalom Kibanda. Zitto amelitaka bunge kuunda Kamati maalum kuchunguza mambo hayo ambayo kwa mchango wake anaonekana kuyahusisha moja...
  13. T2015CCM

    Hongera TISS kwa kazi nzuri ya kulinda na kudumisha amani ya Nchi yetu

    Nilikuwa sijui TISS ni nini ila jana nimedadisi nimeambiwa taasisi hii ni chombo huru na nyeti sana kisichojihusisha na siasa, ambacho kazi yake ni kulinda amani na usalama wa nchi na kusimamia misingi ya utu usawa na haki. Pia Kazi yake kubwa sana ni kuhakikisha uchumi wa nchi unakua na...
  14. T2015CCM

    Kinana ndio aliyeijenga CCM sio Nape

    Ukweli ni huu, Wakati katibu mkuu wa CCM akiwa Wilson Mukama, Nape alikuwa Katibu Mwenezi. Hawakufanya cha maana na hawakuwa wabunifu wala watendaji kazi ipasavyo na CCM iliendelea kuonekana kituko mbele za jamii. Alipoondolewa Mukama akakabidhiwa kijiti hicho Comred Abdulrahman Kinana, Kanali...
  15. T2015CCM

    Nape alifukuzwa umoja wa vijana wa CCM kwa kunyang'anywa uanachama

    Kama mtakumbuka Miaka ya nyuma kidogo Nape alisababisha vurugu kubwa sana pale umoja wa vijana akiwa mjumbe wa baraza kuu la UVCCM hadi akavuliwa uanachama, Records zipo. Baada ya muda mrefu kidogo J.K akampa ukuu wa wilaya ya Nanyumbu. Ikumbukwe kuwa marehemU mzee Nnauye na Kikwete Jakaya...
  16. T2015CCM

    Nyalandu aendelea kuivuruga halmashauri ya wilaya ya Singida kuhusu makao makuu ya wilaya

    Mbunge wa singida kaskazini lazaro nyalandu kwa kuwatumia vibaraka wake ambao ni mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya singida Elia Digha na mwenyekiti wa CCM wilaya ya Singida vijijini Narumba Hanje wameendelea kuiyumbisha halmashauri kwa kukaidi maagizo ya serikali na uongozi wa mkoa ambao...
  17. T2015CCM

    Baadhi ya vituo vya redio/Tv nyumba za ibada chochezi zifutwe

    Hili ni wazo huru zile radio, magazeti, vituo vya television ambavyo havina dira wala mwelekeo ambavyo kazi yake ni umbea umbea futaaaaa piga marufuku. Pia nyumba za ibada ambazo zimegeuka wapiga kampeni wa kisiasa na kushabikia maovu futa piga marufuku. Hatuwezi kugeuka kuwa taifa la kulialia...
  18. T2015CCM

    Rais Magufuli anaenda Ubungo kwa kutumia usafiri wa basi la Mwendokasi

    Ni shidaaa!! huyu ndio rais wa watu. Rais Magufuli amepanda mwendokasi kutoka moroko jijini Dsm hadi Ubungo mataa ambapo anazindua flayover ya ubungo mataa. Lengo la mh Rais ni kutokuwasumbua wananchi kwa kusimama kumpisha,wanaoenda kwny shughuli za ujenzi wa taifa. RAIS AMESHAFIKA UBUNGO NA...
  19. T2015CCM

    Ole wenu majizi, watanzania twende na Magufuli

    Siku zinahesabika tu sasa hivi ili kumkabidhi nchi mzalendo wa kweli Tanzania ndugu Magufuli. Ole wenu mafisadi, ole wenu majizi, ole wenu wazembe na wapiga dili.
  20. T2015CCM

    Utafiti: Magufuli atashinda kwa zaidi ya 80%

    Haya ni matokeo ya utafiti binafsi niliofanya tangu vyama viteue wagombea wao. Baada ya kuuliza maswali wananchi 2000 kutoka mikoa yote ya tanzania. Maswali yalikuwa hivi. 1.umejiandikisha kupiga kura oct 2015? 2.utampigia kura nani? 3. Mgombea gani hana dosari na ni muadilifu na mchapakazi...
Back
Top Bottom