Hatimae CHADEMA yameguka vipande viwili kuelekea uchaguzi has a nafasi ya mwenyekiti Taifa.
Kumetokea makundi Mawili hasimu moja linajiita Tano tena ambalo inadaiwa linaongozwa na vijana watiifu wa Mbowe na walionufaika na Chama na kundi LA pili nikundi LA vijana ambalo linahitaji mabadiriko ya...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa kupitia kamati kuu kwa sauti moja walikubaliana kujitoa kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa unatarajiwa kufanyika tarehe 24 mwezi huu.
Lakini cha ajabu ni kwamba Wilaya ya Mkoa wa Mbeya wamekaidi maagizo ya Mwenyekiti na...
Tetesi zilizopo ndani ya CHADEMA zinasema nilazima sugu aenguliwe kwenye kura za maoni kutokana na vijana kuona kwamba mambo waliyotegemea kufanywa na sugu kushindikana. madai ya msingi ni kwamba amekua mbali na vijana waliojitolea mda na mali zao kuhakikisha anashinda uchaguzi wa 2010 na...
Mwisho wa CDM mbeya mjini ni 2015 hii inatokana na fitina za MWAMBIGIJA na uongo wa msanii SUGU jimboni,wakati wa kura za maoni kiwira motel sugu aliahid atapokua mbunge atahakikisha anafanya show ili hizo pesa ziwasaidie vijana wa mbeya lkn hadi sasa hajatekeleza,pili aliahid kwa wazee wote wa...
Katibu mkuu wa chama tawala leo hii anafanya mkutano mkubwa wilayani hapa na kumpoke kijana mamachari katika siasa EXAUD YESASA ambaye ni miongoni mwa vijana wachache jasiri walioanzisha jumuiya ya vijana wa chadema CHASO chuo kikuu cha dar es salaam.
Pia katibu anatarajia kuwaambia wananchi...
Mkalama ni wilaya mpya ambayo mara ya kwanza ilikua iramba,chini ya CCM wilaya hii ambayo ilikukua na miundo mbinu mibovu lakini kwajitihada za CCM zakuwaletea wananchi wake maendeleo imeboresha miundombinu kama barabara kitu kinachofanya wilaya yetu ifunguke hasa baada ya ujenzi wa daraja la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.