Search results

  1. M

    Bandari mpya bagamoyo!??

    Waungwana,mwenye taarifa za bandari mpya ya Bagamoyo atujuze tafadhali. Tetesi ilikuwa ianze kujengwa mwisho wa mwezi huu,nimekuwa nasikilizia sijasikia chochote. Natanguliza shukrani.
  2. M

    Necta na cambridge

    Salaam wanaJF, Nahitaji kujuzwa faida ya mitihani ya Necta na Cambidge kwa vijana wanaomaliza darasa la saba, Kijana nahitaji kuanza kujipanga mapema,mliopitia huko naomba kujuzwa, Natanguliza shukrani
  3. M

    NECTA na CAMBRIDGE mwenye ufahamu juu ya haya!

    Salaam kwa wana JF wote, Naomba mwenye ufahamu juu ya hii mitihani ya NECTA na CAMRIDGE anijuze jamani Kuna vijana wetu wako kwenye hizi shule za academic grade 7 sasa,wanategemea kufanya mitihani karibuni ya kumaliza primary school,sasa basi wametueleza watafanya mitihani yote miwili,necta...
  4. M

    Fastjet ni kero tupu!

    Habari zenu wanajamvi, Kuna baadhi ya mambo yananichanganya kuhusu hawa fastJet, 1.Bei zao wanazotutangazia hazina ukweli wowote na hazikaribiani na ukweli, Mfano leo kwenye website yako wamatutangazia ndege yao ya kwanza kutoka Dar kwenda KIA ni tsh32,000 ,nimepiga simu wanasema ni...
  5. M

    hello!

    Wanajamvi salaam,mgeni nimeingia leo,naomba ushirikiano wenu.
Back
Top Bottom