Search results

  1. M

    Tumsaidie Zitto, tusimdanganye

    WanaJf, nikiri kuwa mimi ni mwanachama wa CHADEMA ambapo nilikuwa kiongozi wa chama ngazi fulani siku za nyuma ila kwa sasa siyo kiongozi. Napenda kutoa mchango wangu mdogo kuhusu swala la Mh, Zitto Zubery Kabwe ambaye ni kiongozi wetu wa chama na Mbunge wa kigoma kupitia CHADEMA. Mi binafsi...
  2. M

    Muundo wa Muungano: Tunatafuta Haki, Usawa au Ustawi?

    Kama tuliamua kuungana ni bora tukaungana bila kujali eti nchi moja itamezwa. Muungano mzuri ni muungano wa Zanzibar kuwa mkoa wa Tz. Hata hivyo, kama ni kuogopa kumezwa basi kila nchi iwe na serikali yake, vitu vizuri lazima viwe na gharama sio kama serikali yetu ambayo vitu vya kipumbavu ndio...
  3. M

    Siri ya Dr.Slaa na Dr.Ayub Rioba kuwa na msimamo sawa kuhusu Amani

    Serikali yetu inapenda sana kuchezea amani yetu halafu eti wanahimiza kuiombea nchi yetu amani. Mungu humsaidia anayejisaidia, haiwezekani ukamwona nyoka anakuja kukuuma we ukasimama eti unafumba macho unamwomba mungu akusaidie badala ya kukimbia ili mungu akusaidie. Serikali yetu inapanga...
  4. M

    Je nikubali serikali tatu au moja?.

    Wanajf, nakiri wazi kuwa mi ni kiongozi wa CHADEMA ngazi ya kata. kwakuwa mi ni kiongozi wa CHADEMA na kwa kuwa chama changu kimepengekeza serikali tatu namimi kama kiongozi ni halali kutetea msimamo wa chama changu kwani ni maamuzi ya vikao halali vya chama hivyo kwenda kinyume ni kukiuka...
  5. M

    Bomu na risasi za moto zilizotumika kwenye tukio la Arusha ni bidhaa za China tena ni za mwaka huu

    hivi ndugu zangu, hakuna uwezekano wa haya maganda yakafanyiwa uchunguzi kwa level ya kimataifa ili kujua haya maswala vizuri!.
  6. M

    Natamani kuiona tanzania mpya.

    Ndugu zangu wanajf, natamani siku moja kuiona Tanzania mpya itakayo heshimu haki za binadamu, itakayokuwa na uchaguzi wa haki na huru, itakayo kuwa na vyombo madhubuti vya usalama vyenye uwezo wa kubaina matukio kabla ya kutokea na pale yakitokea utatuzi wa kudumu unapatikana. Natamani kuiona...
  7. M

    Lema: Sitapeleka ushahidi wangu uchochoroni tena!!

    " " yaani we udini ni kuangalia uwingi wa dini fulani serikalini!. mbona hufanani na great thinker. kwa hiyo unataka ajira zitolewe kwa udini bila kujali fani au uzoofu wa mtu. sisi tunaposema udini tunamaanisha upole wa kikwete kushughulikia maswala yanayohusu udini na baadhi ya watumishi...
  8. M

    Kwa muundo huu, tunaua CHASO

    Wanajf wa CHADEMA, juzi niliona waraka wa katibu mkuu wa BAVICHA kamanda, Deogratias Munishi unaoelekeza muundo mpya wa CHASO ngazi ya mkoa . Huu waraka unaelekeza kuwa CHASO mkoa utaongozwa na viongozi watatu ambao ni: (a) Mratibu wa CHASO Mkoa (b) Mratibu Msaidizi wa...
  9. M

    Jukwaa la Maaskofu wa Makanisa Tanzania watoa Tamko Kali dhidi ya Serikali

    hii taarifa tmesomewa hata sisi morogoro parokia ya Chamwino.
  10. M

    Juliana Shonza ni hatari kuliko tunavyodhani

    Wnajf, kamati tendaji ya BAVICHA ilipowatimua Juliana Shonza na wenzake mwenyewe sikukubaliana na maamuzi hayo hadi nikafikia hatua ya kutafri kauli ya mh. Mbowe kuwa "Shonza afanye maamuzi ya kikubwa" kama kauli ya kumtaka akate rufaa kwa uongozi wa chama ili wamrudishie uanachama wake...
  11. M

    Kufutwa kwa POAC kuna siri nzito

    Wana JF, Napenda kujadili hii hoja ya kufutwa kwa kamati ya bunge ya hesabu za mashirika ya umma (POAC) kwa sababu mazingira ya kufutwa kwake yana utata pamoja na kamati ya ulinzi. Kufutwa kwa POAC kwa harakaharaka naona kama ni maandalizi ya EPA nyingine kuelekea 2015. Nasema hivyo kwa...
  12. M

    Barua kwa mh. Mbowe

    Mwenyekiti wangu, wanachadema hatuko tayari tena kuona maccm yakijichagua bila kuchaguliwa halafu viongozi wa dini wanakufuata eti wanakushauri uwe na subira. Chaguzi zijazo liwalo na liwe lazima wananchi waruhusiwe kuchagua viongozi na sio kuchaguliwa na tume ya uchaguzi kwa maelezo ya haya...
  13. M

    Spika Makinda, historia itakuhukumu.

    Wanajf, tunapoanza mwaka nimeona nizungumzie mwenendo wa bunge letu tukufu yaani bunge la kumi chini ya spika Anna Makinda [Bi Kiroboto] Baada ya uchaguzi mkuu wa 2010, wengi tulitarajia bunge la kumi lingekuwa na mchango mkubwa kwa maendeleo ya taifa letu kutokana na kuongezeka kwa idadi ya...
  14. M

    Zitto; jipange bado nafasi ipo.

    Wanajf, mnyukano uliokuwa ukiendelea hapa jf kati ya ZITTO na BEN umetufundisha mengi. Tukiamua kuhukumu kwa kutumia maelezo yaliyotolewa bila kuona vithibitisho waliosema wanavyo, ni kuwa BEN ameeleza vizuri tofauti na wengine walionesha wazi kuwa wanawachuki na viongozi wa chama hasa Dr Slaa...
  15. M

    Uthibitisho wangu kwamba Ben Saanane/Mamuya ni watu hatari ndani ya chama

    mpaka hapo tunaelekea kupata majibu sahihi bado tunasubiri ushahidi. ila mwampamba ameonyesha bifu na uongozi wa chama kwani naona kama anawatukana vile!!!
  16. M

    DK Slaa am-beep JK juu ya kauli ya wapinzani Waongo!!!

    kwa maraisi wote waliopita Tz, hotuba za Jakaya zinanikera sana sijui anawaandaaji wapya au zinaandaliwa na form one au anaandaa mwenyewe!!!!!!
  17. M

    Bila CCM madhubuti upinzani imara nchi yetu itayumba...

    Yaliyotokea mwanza (Nyamagana na Ilemela) ni matokeo ya CDM kupokea wanachama wa CCM wenye uchu wa madaraka wanaoikimbia ccm pale wanaposhindwa kwenye chaguzi. Wanahamia CDM wakiwa hawajui hata sera na itikadi za chama na bado wanakuwa na mitizamo na malengo yaleyale ya CCM. Kwakuwa...
  18. M

    Huu hapa ndio ukweli kuhusu kinachoendelea sasa Zanzibar

    maswali ni mengi sana mfano, ilikuaje amtume dereva wake huku akienda peke yake kukutana na watu asiowajua??
  19. M

    Mbunge Joshua Nassari anusurika kupigwa na wananchi wa eneo hilo la Usariver

    mada zingine zinapoteza mda na kutia wasiwasi kama kweli wewe ni great thinker au tumbo thinker.
  20. M

    Meseji ya mauaji ya Barlow yanaswa

    wafanye upelelezi wa kina wasije wakawasingizia watu kisa kulipiza kisasi
Back
Top Bottom