Namkubali mdee anapiga kazi, na kama makosa ni ya kawaida ambayo anayo kila binaadam, na ninachokiona kuna kajiwivu kdogo kinajitokeza na ule mfumo dume unajitokeza, na kama kweli haya unayosema c uwende kwenye ofisi ya jimbo ukatoe malalamiko yako? Hvi mbona sioni humu malalamiko ya majimbo ya...
Jamani pamoja na yote sugu anafanya kazi, na anaonyesha jinsi anavyojiamini kwenye anachokisimamia, kuna kitu nimekigundua inapofika zamu ya sugu kuongea hata wabunge wenziwe wa pande zote wanakuwa na shauku ya kumsikiliza.
Sio Zanzibar tu, kwani hata uku bara unapaonaje, hali ndio hiyo hiyo, kwa ufupi tanzania yote inaelekea kichakani, na mbaya zaidi matukio yote tunayabeba kama mazoea na kujifariji kwamba upepo utapita tu.
Kamanda piga kazi na wala husiwaone wa ajabu wanaonyesha dalili ya kutokuamini kwamba umtalikamilisha, wamekatishwa na tamaa na mengi yaliyopita, ukweli ni kwamba tumevurugwa, na nafikiri unafahamu mtu akivurugwa anakuwaje, pigeni kazi ili angalau tuanze kujenga imani mpya, tupo pamoja.
Hivi ni sahihi kuendelea kukukashifiana? mfano ndugu "Andate" unanirudisha kule ninapokukataa! kashifa hazitotufikisha mbali, na tusitegemee serikali ituondole kadhia hii, maana imeshindwa mda tu, na kama sijaeleweka vzuri, ninasisitizia malumbano na chuki sio dini zenu zilivyowaelekeza, mi...
Ndugu yangu Andate wananchi wa tanzania ni sawa na watoto yatima, husitegemee kwa namna yoyote ile mamlaka iliyoko itashugulikia swala ili , wameshashindwa mengi tu, tena mengine ni madogo kuliko ili, sasa ndio maana nikasisitiza sisi wenyewe tushikamane tuliondoe tatizo ili, halafu kuhusu...
Habari wana jf kwanza poleni sana kwa shuguri za ujenzi wa taifa linalo chechemea, ni mda mrefu sana nimechunguza ktk baraza ili kumekuwa na hali inayonisikitisha na inayonivunja nguvu, ktk mijadala unayohusu dini mara nyingi nimeona wadau badala ya kujadili ni namna gani tunaweza kuindoa hii...
Maelezo yako yanatia moyo kidogo, ila usiogope kukosolewa na pia ujitaidi kuzingatia ushauri wa wadau mbalimbali wakiwemo viongozi wenzio chamani, kuna jambo naliona ili linanitia shaka kidogo, unaonyesha kama unafanya kazi kivyako vile, hii aipendezi umoja ni nguvu, ningependa nikupe ushauri...
Katika hali inayonishangaza watanzania ni watu wakalimu sana kwa watu wa mataifa mengine, mgeni anapokuja tanzania uwa anapewa heshima kubwa sana, tena wakati mwingine hata isiyostaili, tofauti na tunavyochukuliana wenyewe kwa wenyewe, hili limejichomoza ktk nyanja mbalimbali, sasa ndugu zangu...
Ndugu kadigidi hapo umeyumba ndugu yangu, hakuna sababu ya kukebei imani za wenzio, hapo na wewe unaunguna na wale wanaokashifu imani za wenzao, ambapo ndo tunapiga vita mtindo huwo, punguza jazba bado hatujapotea sana tunaweza kurudi tulikotoka, ila kwa nguvu zetu wenyewe na si kwa kutegemea gv...
Kumbuka kwamba tangia akamatwe masaa24 yashapita kwa hiyo hawezi kuendelea kukaa mikononi mwa polisi, leo anafkishwa mahakamani na kumbuka siku hizi utaratibu umebadika, kesi zote zinasimamiwa na askari magereza, kwa hyo swala la kuwa segerea alinashaka, na segerea ni gereza la mahabusu na...
Gereza segerea lina sehemu mbili, gereza la mahabusu na wale waliofungwa, sasa usishangae sheikh ponda kuwa segerea, maana masaa24 tangia akamatwe yashapita, hawezi kuwekwa kituo cha polisi, na siku hizi wanaowapeleka watuhumiwa mahakani ni askari magereza, mf mzuri Lulu
CHEDEMA inaingiaje hapo, au ni mpango uliotengenezwa ili chadema watoe kauli ili mpate chance ya kuwachonganisha na waislam, wacheni kucheza na roho za watu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.