Search results

  1. evance hubert

    Mlioacha kazi za kuajiriwa na kujiajiri wenyewe nahitaji msaada wenu

    Wazo langu kwenye hili. 1. Changamoto ya kwanza ni steady paycheck ndio itakuwa mwisho wake, ukishavuka daraja na kufika ng'ambo ya pili ukajiajiri sio kweli na hawezi ikatokea kwamba kila mwezi utapata kipato kile kile kwahiyo itakubidi uweze kufanya adjustment ya budget yako (kama uko mwenyewe...
  2. evance hubert

    Kama unataka kupunguza umasikini fuga kuku chotara na kama unataka kufanya biashara fuga Kisasa

    Naomba kujifunza kwako kuhusu biashara ya layers na broilers kimahesabu! Na kama umeshafuga chotara uka prove loose pia naomba testimony yako biashara ilikwendaje (kimahesabu kama unavyo sisitiza). Nitashukuru nikipata mrejesho.
  3. evance hubert

    Naomba Kufahamu juu ya kilimo cha Machungwa katika mikoa ya Pwani, Tanga au Morogoro

    Poleni na mihangaiko ya kila siku. Naomba kama kuna mtu anauelewa juu ya kilimo cha matunda machungwa kwa mikoa ya Tanga, Kibaha na morogoro (hata sehemu moja). Anisaidie kunijuza juu ya ukulima huu kuanzia kwenye: 1. Aina bora ya machungwa yanayokubali sana maeneo hayo. 2. Gharama za...
  4. evance hubert

    Tathmini ya mapato ya kilimo cha michungwa 1000 baada ya miaka 3

    Za asubuhi ndugu zangu. Naomba kama kuna mtu anauelewa juu ya kilimo cha matunda hasa machungwa kwa mikoa ya Tanga, Kibaha na morogoro (hata sehemu moja). Anisaidie kunijuza juu ya ukulima huu kuanzia kwenye aina ya machungwa yanayokubali sana maeneo hayo, gharama za upatkanaji wa mashamba...
  5. evance hubert

    Kilimo ni biashara pekee inayolipa kwa 100%

    Okay. Naona unamawazo madogo sana na unafikiria kwamba mpka upate makubwa ndio ujihesabie umejipanga hii itakusumbua sana. Mwanachuo aliye weza kupata bahati ya kupata boom anapewa boom mara mbili kwa semester ya miezi 4 kwahiyo ni kila baada ya miezi miwili. Sasa basi mwanachuo huyo mwenye...
  6. evance hubert

    Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Za asubuhi ndugu ukiweza pata namba za mama joe usiache kuzitupia humu.
  7. evance hubert

    Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Inategemea na jamii ya kuku chotara, wengine ni watagaji wazuri ila sio waatamiaji wazuri na wengine wanafanya vyote kwa uzuri sana. Tumia mabwana shamba walio karibu na wewe na hasa tafuta wafugaji waliofuga kwa muda wa kuanzia mwaka kuku chotara hawa wanakuwa na experience nzuri zaidi na kwa...
  8. evance hubert

    Kilimo ni biashara pekee inayolipa kwa 100%

    Mwanafunzi wa chuo anaweza kujipanga mwenyewe kabisa, ila ubaya ni kwamba watu wengi hatuna kitu kinacho itwa "saving culture" tunategemea mwisho wa siku tutapewa au tutaomba kila kitu. Tuchukulie mfano wa kijana aliyejitambua na mwenye malengo thabiti kabisa. Anapo anza mwaka wa kwanza akaweza...
  9. evance hubert

    Wanafunzi Elimu Ya Juu Watengewa Bilioni 483 Za Mikop

    Nashindwa kuelewa kwann serikali isitoe asilimia sifuri hiyo pesa ya kujikimu kwa kila mwanafunzi wa elimu ya juu na hizo ada na mambo mengine ndio kukawa vipaumbele... Wanaweka grade Kali za kuchuja watu kuingia vyuoni alafu hao wachache wanaoingia huwezi kuwa hudumia sielewi nchi yangu...
  10. evance hubert

    Wanafunzi Elimu Ya Juu Watengewa Bilioni 483 Za Mikop

    Na hizi fununu za kwamba wanafunzi walio soma private schools kuwa hawana kigezo cha kupewa mikopo wewe unatathmini vipi!? Na kwa wale wanafunzi walio andikiwa kwenye account zao walizo apply nazo mikopo kuwa wamepewa na baada ya wiki kubadilishwa kuwa hawajapewa unalitathmini vipi? Na kwa...
  11. evance hubert

    Tanzania yapunguza pakubwa gharama ya vibali vya kazi kwa wana EAC

    Respect brother, this is what all Tanzanians should know, to become better at whatever they are doing in every sector, kudos amigo...
  12. evance hubert

    Hydroponic fodder, Mkombozi pekee wa wafugaji wa ng'ombe, kuku, nguruwe, mbuzi na kadhalika

    Hii kitu nahitaji nutrients zake kwa tz tunaweza pata wapi?
  13. evance hubert

    Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Nahitaji kujikita katika ufugaji wa kuku wa kienyeji ila ninapata shida kujua ni mbegu gani ya kuku ambayo itanisaidia kukuza kipato changu kwanza ni mbegu gani iko vizuri kwenye kutaga mayai yengi na pili ni mbegu ipi hupata nyama nyingi na kuongeza kilo?
  14. evance hubert

    Njia za kufungua NGO's

    Wanajukwaa kwa yeyote anaye fahamu njia za kufungua NGO's kuanzia hatua ya kwanza mpaka ya mwisho ninge waomba Sana msaada wenu.
  15. evance hubert

    Am new here!

    Eti Kama nataka kubali username what do I have to do wakubwa??
Back
Top Bottom