Search results

  1. W

    Maendeleo yatakuja baada ya kusafisha uozo

    Wakubwa tuache unafiki huu wa kipumbavu. Nikiwa nina maana hii: 1. Nani hajui kuwa hii nchi ilifikia mahali ambapo haiwezi kulinganishwa na nchi nyingine yoyote ile hapa DUNIANI kutokana na UOZO MTUPU! 2. Hata angekuja mtu kutoka sijui wapi nikiwa na maana kutoka katika chama chochote cha...
  2. W

    Ahsante Rais wetu mpendwa

    Wakuu ninaomba kusema haya: Kwa yeyote mpenda Taifa letu hana budi kutoa ushirikiano wa kila hali na mali kwa Mhs Rais wetu, maana anayoyafanya yanaonekana na yataendelea kuonekana Kwa upande wa upinzani, ni kiasi cha kutumia akiri na busara na kuwa creative and innovative katika kujiweka sawa...
  3. W

    Upinzani washinda uchaguzi Canada

    Wakuu siku zinayoyoma! Mwenye nafasi aangalie mataokeo ya uchaguzi wa Canada uliofanyika jana na baada masaa machache mshindi alisha famika. Mshindi ni mtoto wa Marehemu Truede aliyewahi kuwa kiongozi wa nchi hiyo! My take: Tume huru ni ufunguoa ma usalama na utulivu wa nchi. Na hii inachangia...
  4. W

    Dr. Slaa tulia tu ila historia iko kwa upande wako!

    Barua kwa Dr. Slaa Ninaomba upate dakika chache upitie hiki kibarua kifupi ili upate mioyo ya wapenzi wako chini ya chadema inavyopiga kutokana na sintofahamu iliyopo kuhusu shughuli zako katika chama chako cha CHADEMA. Dr. Slaa, mimi pamoja na maelfu ya Watanzania waliopo ndani ya nchi na...
  5. W

    Walimu wote angalia hapa!

    Wana JF hapa kuna kitu rahisi. Kwa mfano kama asilimia kubwa ya wabunge wa Bunge lijalo ikiwa ni ya wapinzani, hii INA MAANA kuwa budget ya elimu ambayo haitaboresha mishahara ya walimu haiatapitishwa KAMWE! Je walimu wetu wanalijua hili?
  6. W

    President Buhari: US and other countries to help Nigeria search for stolen money

    Wana JF Heshima kwenu! Wakati nchi nyingi za Afrika zinajaribu kutafuta mbinu za KUPAMBANA NA WIZI WA MAMILION NA VIONGOZI MAFISADI, Rais mpya wa Nigeria anaziomba nchi kama USA nk kusaidia kurudisha hele zilizoibiwa wakati wa kipindi kilichopita cha Utawala. Anasema Serikali haiwezi kulipa...
  7. W

    Hivi kwa UKAWA, Plan B ni ipi?

    Wana JF wengi wetu tunapenda mabadiriko ya kweli yatokee hasa mwaka huu. Na haya mabadiriko yanaweza kutokea baada ya matokeo ya uchuguzi mkuu ujao kuwa kama ifutavyo: 1. Rais ajaye atoke katika vyama vya UPINZANI au atokee ktk chama tawala lakini awe ni mtu ambaye akiangaliwa na wale wote...
  8. W

    Hii ni hali ya hatari kwa uchaguzi ujao!

    Ndugu wana JF, Inatia wasi wasi mkubwa kuwa hata kabla ya uchaguzi kutakuwa na maandamano ya hapa na pale kutokana na watu walio wengi kukosa kuandikishwa. Na hii tutaiona baada ya siku saba zilizowekwa na tume ya UCHAGUZI! Kwa sisi ambao tupo Mikoani/Vijijini, kwa kweli hali ni ya hatari sana...
  9. W

    Kwa UKAWA ni lazima kimojawapo kipatikane!!

    Kwa hali ya siasa ilivyo hapa nchini ni mawazo yangu binafsi kuwa ni lazima kati ya haya yatokee katika uchaguzi Mkuu ujao: 1. Mkuu wa nchi ajaye atatokea upande wa UKAWA. Na hii inawezekana kama elimu kwa wananchi kuhusu maslahi na haki zao itakuwa imeeleweka. Kwa watu ambao hawafungamani na...
  10. W

    Huyu comrade Insa Kaisi ameishia wapi?

    wana jf huyu mhs insa kaisi kaishia wapi? Nilitokea kumfahamu wakti nipo tabora boys secondary school wakati akiwa mkuu wa mkoa wa tabora. Alikuwa jembe kama mwakyembe (kabla mwakyembe hajabadirika). Nitashukuru....
  11. W

    How shame is? A state owned air Tanzania!

    Kweli uswahili kama ndiyo kanuni zake basi imetosha! Pilots wameshindwa kufika airport eti wanakula christmass!
  12. W

    Tatizo la kuwa na kiongozi wa kutegemea kuambiwa kla kitu!

    Hivi kwa wale wenye kufuatilia hii issue ya hela za Mkombozi bank, ni kweli huyu mama ndiye amekosa mpaka kuambiwa aachie ngazi? Ingawa uwaziri siyo profes.... lkn ninaona kuna watu wamemukalia vibaya as if ni fisadi! Hapa ninaona kuna kitu kimefichwa chini ya pazia zito kabisa. Kwa wale ambao...
  13. W

    Tatizo la kuwa na kiongozi wa juambiwa kila kitu!

    Hivi kwa wale wenye kufuatilia hii issue ya hela za Mkombozi bank, ni kweli huyu mama ndiye amekosa mpaka kuambiwa aachie ngazi? Ingawa uwaziri siyo profes.... lkn ninaona kuna watu wamemukalia vibaya as if ni fisadi! Hapa ninaona kuna kitu kimefichwa chini ya pazia zito kabisa. Kwa wale ambao...
  14. W

    Ninatafuta kijana mwenye ujuzi wa electronics

    Wakuu ningependa kupata kijani ambaye ana ufundi wa electronics. Awe amemaliza form 4 au kama si hivyo awe anajua kiingereza. wasiliana nami: wabuyaga58@gmail.com Note: Awe anaishi sehemu za Bukoba au Muleba kwani shughuli zitakuwa katika maeneo hayo.
  15. W

    Maadili ya kazi na tabia zetu sisi hasa watanzani!

    Ndugu wana JF, Ninaomba niongee machache kutokana ninayoendelea kuyaona katika kufanya biashara pamoja na kazi za kiofisi hapa nchini. Je ni kweli sisi tunashindwa kuthamini muda wa kazi? Inakuwaje mtu mnapanga kukutana saa nne, eti baadae anatoa excuse kuwa alisahau au ana shughuli nyingine...
  16. W

    Kwa kundi hili la watu inabidi kumshukuru mungu !

    Wakuu salaam! Kwa yeyote ambaye ana uhakika na AFYA YAKE KWA ASILIMIA 100 HANA BUDI YA KUMSHUKURU MUNGU. JE WEWE UNAMSHUKURU MUNGU AU HAUNA UHAKIKA NA HIYO AFYA YAKO?
  17. W

    Wengi wetu tumeota kuwa kuna wengi wanaomba kurudi kundini!

    WENGI waliojitoa kundini ili kutafuta KUNDI jingine ambapo labda wakiamini kupewa UONGOZI wa kuongoza KUNDI hilo jipya, wameanza kuomba kurudi kwenye kuNdi lao la zamani! Swali ni kwamba je MLANGO BADO UKO WAZI? NA KAMA UMEISHAFUNGWA, JE WAENDE WAPI? NI TAARIFA TU!
  18. W

    Wasomi wetu je kuwa na mawaziri kutoka nje ya nchi itakuwa ni kosa au hapana?

    Wakuu Kutokana na hali kuzidi kuwa mbaya hasa katika kutekeleza majukumu yaliyowekwa na Serikali yetu na hasa tunapoona mawaziri wetu inabidi wabadilishwe kila mara, je isingekuwa muda mzuri sasa kujaribu kupata hawa watu toka nchi za nje jamani? Kama mawaziri wenye elimu hasa maprofessors, ma...
  19. W

    Niko tayari kusaidia tukapata our own product to export to European countries!

    Ndugu wana JF ninaomba kama kuna mtu/watu ambao wako tayari kushirikiana na mimi ili tupate product made in Tanzania by tanzanian na iwe katika standard za viwango vya ulaya ili tukauze Ulaya!! Mimi mwenyewe ninaishi Ulaya na ninafanya kwenye kampuni zao hapa Ujerunmaini kwa hiyo kama mtu au...
  20. W

    Hela ni nzuri lakini ........................ .!!

    WANA jf HELA NI NZURI LAKINI HAKUNA KIZURI KUWA NA MPENZI WAKO AMBAYE UNAJUA SI MUATHIRIKA HASA KWA KIPINDI HiKI WAKATI MAISHA YANAZIDI KUPENDEZA! AU MNA MAWAZO MENGINE NA MAWAZO YANGU?
Back
Top Bottom