Search results

  1. Fidel80

    Hukumu ya wanaonyonya sehemu za siri

    Maisha yamebadilika zama zinakimbia ukiona kitu kinakusumbua unakipiga chini wewe kama wewe unawaachie wengine waendelee na elimu iendelee kutolewa kuhusu madhara mtu aamue mwenyewe yupo tayari? Kama la basi anaacha kwa amani anazidisha ibada msikitini na kanisani kuwaombea wengine wasitumbukie.
  2. Fidel80

    Hukumu ya wanaonyonya sehemu za siri

    We endelea kufanya kinachokupendeza ndugu hujakatazwa kila kitu kina madhara yake kila mtalaam akianisha madhara ya Kila kitu mbona shehe utatembea mtupu napo kuna madhara mionzi 😂😂
  3. Fidel80

    Mwanamke usijichanganye mambo haya hayajawai kumtetemesha mwanaume hata punje

    Haya ni mambo ya tamaduni za Pwani huko mwanamke wa Kasulu na Ileje haelewi vitu hivi kila sehemu ina tamaduni zake.
  4. Fidel80

    Hukumu ya wanaonyonya sehemu za siri

    Wao watafiti wanadai kuwa too much is harmful zingatia hilo sio kila game unazama uvinza baadae utajisahau utaanza kuzama topeni nalo ukaona tamu jamii itakushangaa kijana vp tena?
  5. Fidel80

    Enock Inonga Baka ni Mkongomani pekee anayecheza Tanzania aliyeitwa kwenda AFCON

    Hongereni sana Simba kwa kutoa beki kuitwa timu ya Taifa
  6. Fidel80

    Ukweli Ambao Kila Mwanaume Anapaswa Kuujua • Men's Rights Activist - MRA.

    Na kila mafanikio ya mwanamke nyuma yake kuna mwanaume aliyemwezesha kwa namna mbalimbali kala nauli ya ndege kwa mwanamke wa uswazi mtaji huo anafungua biashara n.k huu ni mfano wapo wanawake wanakula nauli ya basi, taxi, daladala hadi bodaboda inategemea huyo mmpokea nauli yupo katika mudi...
  7. Fidel80

    Ukweli Ambao Kila Mwanaume Anapaswa Kuujua • Men's Rights Activist - MRA.

    Kila mwanaume anacho akipendacho nafsini kwake na huwezi tabiri, ukibet ni kama isemavyo kuwa wanaume wanywa soda wanapenda sana mademu yupo tayari amalize kreti usiku wa manane asubiri demu
  8. Fidel80

    Kuna gari ukiendesha unaonekana 'muhuni', inasikitisha sana

    Hata pikipiki hivyo hivyo ukiendesha Honda 110 unaweza pewa mke bure kabisa ukiipaki sehemu unayochumbia wanakuelewa fasta maana bei yake imesimama madingi wanaelewa bila m.9 humiliki pikipiki 110 wahuni wa SanLG na Boxer hamuelewi somo hili kumiliki Honda 110 lazima uwe na mpunga wa kumiliki...
  9. Fidel80

    Orodha yangu binafsi ya wachekeshaji bora wa muda wote Tanzania

    Hawa hawakuwa na management nzuri ya kupiga pesa ndefu, kama wanayopiga wahuni tu kuchekesha wanalazimisha, hawa malegent nawakubali kuna wale wa Mizengwe wakiongozwa na Mkwere ni hatari.
  10. Fidel80

    Orodha yangu binafsi ya wachekeshaji bora wa muda wote Tanzania

    Kuna Asenga mtendee haki Mtanga mtendee haki Bambo mtendee haki pia
  11. Fidel80

    Huyu mchepuko aambiwe ukweli au aachwe hivyo hivyo aendelee kujimwambafai?

    Hapa ndipo ulipokosea ungemweleza mchepuko wako kwamba unamatatizo si ajabu angekusaidia kuwapata majambazi michepuko nayo ina connection.
  12. Fidel80

    Hongereni sana GSM Yanga SC kwa kuamua kuwapokea Mbeya City FC

    Kama unaushahidi si uuwasilishe ofisi yeyote ya karibu ya TAKUKURU ili waanze kazi ya kusukuma ndani wote, kama ushahidi huna nawe umesimuliwa huku nikuchafuana ipo siku nawe utachafuliwa hivi hivi.
  13. Fidel80

    Balozi wa Marekani nchini Tanzania atembelea Ofisi za JamiiForums

    Balozi ametoa ahadi gani kwa JF?
  14. Fidel80

    Bernard Morrison asimamishwa Simba SC kwa utovu wa nidhamu

    Mkude bado anampa verses CEO amkojoleshe?
  15. Fidel80

    Bernard Morrison asimamishwa Simba SC kwa utovu wa nidhamu

    Mtoto umeleavyo ndivyo akuavyo si mlimbatiza huyu jina la wakili msomi! Sasa amewakalia kichwani
  16. Fidel80

    Wema Sepetu: Wanaoniponda wengi wao wanatumia Tecno na Huawei

    Hata Aristote anatumia hizo simu?
  17. Fidel80

    Hivi kuna tiba ya uvivu

    Wahenga hawakukosea kusema pata pesa tujue tabia yako, hiyo ni tabia yako inabidi uikane kwanza na ujikubali mwenyewe.
  18. Fidel80

    Aliyekuwa mke wangu, analazimisha kunirudia

    Papuchi haina makombo we endeleza walipoishia wenzio.
  19. Fidel80

    Mpenzi wangu wa kwanza amerudi

    Hatari Mwaisa
  20. Fidel80

    Mnaonyonyana Ndimi (French Kiss) huwa mnasikia ladha gani?

    Mi huwa najisikia nipo kwa Israel pale
Back
Top Bottom