Search results

  1. N

    Msaada tafadhali

    Naomba msaada tafadhali, nimeagiza gari toka Japan. Ni ya mwaka 1999 cc 2000. Total cost hadi hapa ni dola 2960. Naomba kwa anayefahamu, ushuru utafikia kiasi gani. Nimeangalia website ya TRA, lakini hesabu zimenipiga chenga. Naomba msaada nijiandae maana gari inafika next week. Nawasilisha...
  2. N

    Wakili anahitajika kuajiriwa kwenye law firm

    Tuna hitaji kuajiri wakili kwenye law firm dar, awe ni fresh graduate, mwanaume, umri usizidi miaka 30. Mwenye sifa hizo anaweza kuni pm. Nawasilisha tafadhali.
  3. N

    msaada tafadhali Charter establishing ESAMI

    Naomba msaada wa charter iliyoestablish chuo cha ESAMI, na je kuna limitation yoyote kwenye kufungua madai yanayotokana na breach ya contract, do a person need to get a waiver before instituting claim against ESAMI? Natanguliza shukurani.
  4. N

    Msaada, Raum 2004

    Wana JF naomba msaada kwa anayefahamu itanigharimu kiasi gani kiaugiza gari aina ya Raum 2004,toka Japan ambayo FOB ni dola 2010, yaani nataka kujua itanigharimu shs ngapi ya kusafirisha hadi Dar, pamoja na ushuru. Natanguliza shukurani tafadhali.
  5. N

    Huduma nyingine za vodacom zitazidisha utapeli

    Wana jamvi, leo asubuhi nimepata ujumbe toka vodacom kuwa mwenye namba hii anaomba umtumie mpesa kiasi fulani, swali langu je kuna mwana JF ambaye alishawahi kupata ujumbe kama huo? Mimi ndiyo mara yangu ya kwanza lakini nimeona haijakaa sawa. Nimejaribu kuangalia kwenye phone book yangu hiyo...
  6. N

    Idadi ya magari Tanzania

    Wana JF kwa mujibu wa taarifa ya habari ya redio one leo ni kuwa Tanzania ina magari 1,200,000. Je habari hizi ni za kweli? kama ni hivyo basi watanzania wanao miliki magari ni wachache sana kulinganisha na idadi ya watu 44 milioni. Nasema hivi kwa sababu idadi hiyo inajumuisha magari ya...
  7. N

    Kauli ya mheshimiwa rais kuhusu riba za mabenki

    Wakati mheshimiwa rais anazindua nyumba za NHC Kibada alizungumzia kuhusu riba za mabenki kuwa kubwa hivyo kuyataka mabenki hayo kupunguza riba zinazotozwa kwenye mikopo inayotolewa. Kwa uelewa wangu ni kuwa hapa nchini hakuna sheria kuhusu riba zinazotozwa. Hivyo badala ya kuyataka mabenki ya...
  8. N

    Kesi ya Zombe na askari wenzake

    Tafadhali kuna yeyote mwenye taarifa juu ya kesi hii kwani iliandikwa kwenye baadhi ya magazeti ya leo kuwa rufaa dhidi ya Zombe na wenzake ingefanyika leo mahakama ya rufani, tujuzeni maana hamu iko juu kujua hatima ya waliofanya mauaji ya kinyama kwa raia wasio na hatia.
  9. N

    kucheka ni dawa

    Leo nimesikia kupitia kipindi cha BBC asubuhi kuwa huko Kenya kumeazishwa club za kucheka ambapo wapo hukusanyika na kucheka kwa masaa kadhaa. Mwenye hiyo club alihojiwa na kudai kuwa kucheka ni dawa na inawezesha kurefusha maisha ya watu, kitu ambacho naomba kusaidiwa na wana JF ni kama jambo...
Back
Top Bottom