Search results

  1. S

    Ansbert Ngurumo: Kikwete anajua CCM bingwa wa udini?

    Bravo! kaka gurumo umenitoa tongotongo na makala yako hii.
  2. S

    Magazeti ya Uhuru, HabariLeo, Daily News na suala la Absalom Kibanda

    uhuru ndo wameandika ufinyu kabisaa maana katika uhuru si habari inayoongoza yani 'leading story" ni habari ya pili maana yake ni kwamba haijapewa uzito.suala kama hili linalomuhusu kiongozi wa tasnia ya habari kama Kibanda lingetakiwa leo liwe ni lead story kwa magazeti yote.
  3. S

    Gharama za uchaguzi wa kenya zatisha

    ndipo tulipofika katika demokrasia ya afrika wanasiasa wanatumia nguvu kubwa ya pesa kuingia madarakani wakifanikiwa kuingia ikulu wanarudisha pesa zao ni kama aina nyingine ya biashara.
  4. S

    Ronaldinho alikuwa zaidi ya Messi Barcelona

    messi ancheza kama wachezaji wa play station,maneno yaliyotamkwa na arsene wenger,fabio carpelo amekiri kuwa ye ni shabiki namba moja wa messi,messi anawekwa kundi la malijendari maradona na pele,messi anacheza dunia ya peke yake.sio maneno yangu mm ni wadau tofauti tofauti huko mbele.acheni...
  5. S

    Kwanini tanzania tunadharaulika kwenye mpira? Someni heading hii.

    acheni ukilaza badilikeni kifikra msikariri timu zenye majina stars waliwazidi cameroun jana tena sana kwa iyo ni uwzo sio kulteana dharau
  6. S

    historia ya mpira wa miguu

    Wanajamii wenzangu naomba mnisaidie historia ya mpira wa wanawake tanzania
  7. S

    TCRA, Tunaomba ufafanuzi

    usanii mtupu hamna digitali wala nini ni mfumo wa tu wa malipo kwa matangazo ya televisheni umebadilika ila katika ubora wa picha na sauti mambo ni yaleyale,tcra wametufanyia usanii tu.
  8. S

    Njia panda

    mimi ni mwanajamii mwenzenu naomba msaada wenu wa kimapenzi ninja mpezi wangu ni muislam mimi ni mkristo tunapendana sana ila wazazi wake hawataki awe na mkristo sasa nifanyaje
  9. S

    Wasomi Wapinga: Dr. Lweitama adai Hakuna Mapya; Bashir Ally asema CCM haiwezi kufanikiwa kubadilika

    "katika mwanga uliojaa duniani bado kuna watu wanaoishi gizani" mabadiliko ya sura ccm siku zote hawayaoni watu kila siku mpaka msubiri kina lwaitama maoni yao ndo myakosoe.
  10. S

    Mbowe, Dr. Slaa SOMENI Hapa ni Muhimu Sana!

    Bravoo! wazo zuri
  11. S

    Mbowe, Dr. Slaa SOMENI Hapa ni Muhimu Sana!

    bravoo! umeonyesha moyo wa kipiganaji sasa ni kazi ya viongozi kusikiliza mawazo ya wanachama na wafuasai kama hawa wasiachwe wakakata tamaa,wapewe nguvu.
  12. S

    Eneo la Oysterbay Police lauzwa kwa mwekezaji!

    imebaki na sisi tuuzwe tu
  13. S

    The battalions of idiocy are on the march in Tanzania, old haven of global intellectuals

    there is no way out to look for an enemy but we have to turn back and starts rather than go to know where,let us begining to cuer primary problem and that is culture accompanied by relevant education and also faith(with the exception of christianity and muslims) once we reach there,the secondary...
  14. S

    Vurugu za UAMSHO Zanzibar: Polisi auawa kikatili...

    hapo intalijensia haijafanya kazi?
  15. S

    Vurugu za UAMSHO Zanzibar: Polisi auawa kikatili...

    tumeshaonya mara kwa mara huko nyuma kwamba hizi dini za kigeni hazitufai sasa matokeo ya uamsho ni chuki kwa ukristo mwenye macho na atazame.
  16. S

    ushauri

    mimi ni kijana wa makamo ya kati mkazi wa jijini dareslaam kinachonileta katika jukwaa hili ni kutaka ushauri kutoka kwa wanajamii wenzangu.nina mpenzi ambaye hatuna muda mrefu sana katika mapenzi yetu ni kama muda wa miezi miwili tu.kikubwa hasa ni kwamba wakati tukianza mahusiano hakunieleza...
  17. S

    Kipindi cha kumbukumbu ya Mwl Nyerere; mgeni Mohamed Said - Radio Imaan

    waislam siku wakiamka watakuta wameachiwa makombo maana sasa hivi bado wamelala usingizi wa pono na tukumbuke kauli ya wahenga kuwa usimuamshe aliyelala.hawa ndugu zetu wanahitaji kwenda kunyea kikombe loloiondo kwa babu.
  18. S

    Siku ya kweli aliyokufa Mwl J K Nyerere

    prove it, mkuu.
  19. S

    Siku ya kweli aliyokufa Mwl J K Nyerere

    prove it, mkuu.
  20. S

    Nyerere day 14 oct 2012

    kwa kiasi kikubwa bado si kwa viongozi wala wananchi walio "commited" na kumuenzi mwalimu nyerere yani ni kama bado tunatania likija suala la kumuenzi huyu mtu. Nyerere alisoma alama za nyakati kipindi hicho na aliona kwamba watanzania bado hawastahili kuachiwa hii nchi bila ya yeye, kwa hiyo...
Back
Top Bottom