Search results

  1. P

    Namchukia sijui imekuwaje..

    nliwahi weka kuhusu uhusiano wangu na mkaka wa kiislam ,kiukweli nlikuwa nampenda sana bila kujali mambo yote aliyowahi kunifanyia kwani tuliamua kuanza upya na kusahau yote ila inafika mwezi sasa nimejikuta namchukia tu sina tena feelings nae sielewi nini kimetokea,na yeye ameligundua ilo kwan...
  2. P

    Maafa kutokea muda wowote Tanzania baada ya BUSARA kutoweka!

    let us pray for our country jaman,vita ni mbaya
  3. P

    dini,elimu,vinatukwamisha...

    thanx,nimekusoma
  4. P

    dini,elimu,vinatukwamisha...

    tumeshagombana mara kadhaa adi inafikia kuachana lakin mwisho wa siku tunarudiana.
  5. P

    dini,elimu,vinatukwamisha...

    kama nakuelewa afu kama ckuelewi
  6. P

    dini,elimu,vinatukwamisha...

    teh teh kawaida bwana.
  7. P

    dini,elimu,vinatukwamisha...

    Asante,2zidi kuombeana naamini tutayashinda.
  8. P

    dini,elimu,vinatukwamisha...

    nimeipenda iyo.
  9. P

    dini,elimu,vinatukwamisha...

    yap,nimemsoma.thanx much
  10. P

    dini,elimu,vinatukwamisha...

    thanx naomba naamini atafanya njia ktk ili.
  11. P

    dini,elimu,vinatukwamisha...

    yeah sisi hatuna tatizo
  12. P

    MKE /MUME kutoridhishwa kwenye TENDO LA NDOA....Lawama kwa Nani?

    kwenye mahusiano uwazi na ukwel ndo kila k2 ,wote wana makosa kwan asiyerizishwa anatakiwa aseme kwa mwanzie na uyo mwenzie kama anamjali na kumpenda mwenzake anatakiwa awe anafatilia je mwenzangu anarizika na nnayomfanyia ata kwa kuuliza baada ye shughul vp mwenzangu mzik ulikuwaje kila m2...
  13. P

    dini,elimu,vinatukwamisha...

    okey nashukuru sana,spelling zisikutishe ni ujana tu.
Back
Top Bottom