Habari zenu wana JF,
Mimi ni mvulana wa miaka 24, nina tatizo la kuwahi kufika kileleni. Tangu shule ya msingi hadi Sekondari nimesoma shule ya boarding ila ya sekondari ilikuwa ni boys school.
Muda wote huo hadi nafika miaka 23 sikuwahi kufanya tendo la ndoa, hivyo nimekuwa nikipiga punyeto...
Habari wana JF,mimi ni kijana wa miaka 21,kuna msichana 2lizoeana sana paka ikafikia akawa ananiletea visuprise vidogo vidogo,baada ya mda mrefu nilimwambia yamoyoni kwangu,hakunijibu,akasafiri juzi juz amerudi tukawa tunapiga story za kawaida,juz akanipa sim niongee na kaka yake,kaka yake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.