Naomba ushauri wenu

Rtd

Member
Oct 5, 2012
13
4
Habari wana JF,mimi ni kijana wa miaka 21,kuna msichana 2lizoeana sana paka ikafikia akawa ananiletea visuprise vidogo vidogo,baada ya mda mrefu nilimwambia yamoyoni kwangu,hakunijibu,akasafiri juzi juz amerudi tukawa tunapiga story za kawaida,juz akanipa sim niongee na kaka yake,kaka yake akanichangamkia huku akiniita shemej,huyu msichana anakaa ruvuma ambapo ndo kwao,kwa kina huyu msichana,kichwani nikajua tayari kashanikubalia,juz nimempigia cm ananiulza we nani?baada ya muda akani2mia msg kwamba nisimjue,hanitak na nifute namba yake,kaka kampigia kumuulza amesema hamna ki2,najiulza ananipima au yuko series mana hata cm hanipigii sasa, naombeni ushauri wenu...
 
damn it...
nazeeka now....
threads aina hii nashindwa cha kuchangia lol..
aahahhahahahhah jikaaaze baba!mi si ndo mana nilikwambia kale kamsemo kako ukakatie TIN #.we oh use it for free!unaona how kako uzifull!pole mwaya!
 
mmhhhhh sasa mjomba tukuambieje wakati ushasema hajakujibu kuwa anakupenda yaani ww kuitwa shemeji na kk yake ukakajua tayari acha hzo mapenzi ni makubaliano ya wawili:spy:
 
Dogo huyo msichana alitaka kumonyesha mshikaji wake kama kuna wengine wana mtongoza ili apandishe chat yake.


Yule sio kaka yake ni mshikaji wake :biggrin:
 
Miaka 21 na huyo mdada nahisi atakua ni mdogo zaidi ya hapo NO WONDER mnacheza michezo ya kitoto! Songa mbele kijana ushamkosa huyo......
 
21yrs! come on! u r still young for those staffs. i bet u r still studying, concentrate on ur studies, mpende Mungu wako, achana na mapenzi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom