Search results

  1. E

    Wangapi tuliwahi kucheza mchezo hatari wa 'kula mbakishie baba' utotoni?

    Hahahhahaa kula mbakishie baba nakumbuka vyema kuna siku nilicheza kijiti kikaangukia kwangu Dadeki nilitoka mbio Balaaaaa sasa kwa ku panic nikaenda direction ambayo sio kwenye mti. Watu wakakikimbilia kwenye mti wa kawa wananisubiria sitakaa sahau nilivyohangaika kupata ule mti Nilichezea...
  2. E

    Filamu za kitanzania: Mazuri na mabaya

    yeah hilo nalijua but kuna makosa menginne ni ya kuepuka farmer sisi tumezidisha kuendekeza.
  3. E

    Filamu za kitanzania: Mazuri na mabaya

    Ni miaka mingi sasa tunaendekeza upuuzi katika filamu zetu za kitanzania ni lini tutabadilika? juzi hapa nimejiloga nikaangalia movie ya kitanzania inayoitwa oprah nikakuta makosa ya kipuuzi ambayo sikutegemmea kuyakuta matika movies za 2008 Niliangalia ile movie part 1 and 2 nilivyomaliza...
  4. E

    take a rest

    n dont 4get 2 invite otherz
  5. E

    take a rest

    n lets talk abt music. eamusic will b much better at http://nipetano.ning.com come on all east africa members. we r waiting 4 u
Back
Top Bottom