" America is such a kind of political and economical osmosis.. Mexico is in trouble because America takes what is in the economy of the Mexicans. the Mexicans are in trouble because they are near that superpower ..." nyerere.
Kwa miaka mingi tumemshuhudia America kama askari wa dunia. alipiga...
jukwaa la historia litabaki kuwa jukwaa pendwa kwangu japo siku za karibuni limekuwa kimya mno... bado mengi hayajaandikwa tuifanye hai historia...............
Sikuja kuandika juu ya kuzaliwa wala kuoa kwa Abe.. kilichonivuta ni mtindo wa maisha yake na yale aliyopitia.
alizaliwa kwa baba...
China amekuwa mmoja kati ya mataifa yaliyopiga hatua kwa kasi kubwa.ingawa bado inatajwa kama nchi inayoendelea uchumi wao ni imara kuliko mamia ya mataifa.Ni second world largest economy baada ya USA japo watu wanasema through ppp(purchasing power parity) China iko vizuri zaidi ya us.hiki ndio...
ni muda sasa umepita tangu dunia iomboleze vifo vya mamia elfu ya watu waliopotea kwenye 2nd world war.mataifa mengi yalipoteza wengi na kupoteza vingi pia.upande wa pili pia uliwanufaisha baadhi kama world super block ya leo(USA).wengi hatukuwepo wakati wa vita hivyo ni wachache wenye uhalisia...
salama iwe nanyi,amani haina mtambuko tena kwenye malango yetu.sababu kuu sidhani kama ni utajiri uliopo ndani ya bara hili bali napata shaka kuwa ni kukosa ushirikiano na kutojiamini kwa viongozi wetu.tunasemewa kila tunachohitaji na kufanyiwa kadri ya wanavyotaraji.ikiwa tunaamini mjenga nchi...
there is nothing good than celebrating an anniversary.but if it's a remembrance of an event which lead to your fall that anniversary is worthless.ni miaka mitatu sasa tangu muammar gaddafi aondolewe madarakani kwa nguvu ya wazi kabisa toka kwa NATO na vijana waliopumbazwa na maneno ya magharibi...
"Capitalism means that the masses
will work, and a few people -- who
may not labor at all -- will benefit
from that work. The few will sit
down to a banquet, and the masses
will eat whatever is left over." ni
ngumu kuamini kuwa sasa nchi yetu
imefikia kwenye hatua hii we work
they...
Stevie Wonder's late mother Lula
Hardaway was an incredible and
remarkable woman who raised a
house full of children. In her
biography, she's brutally honest
and reveals the sacrifices she made
as a young mother, as follows:
According to authors Dennis Love &
Stacy Brown: Lula Hardaway...
msaada wakuu hii simu ilikuwa inadownload vizuri tu but tatizo limeanza baada ya kui restore sasa hivi inakubali kudownload apps peke yake vitu vingine inakataa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.