Search results

  1. D

    Wanaopenda kujua kuhusu Kujiunga na JWTZ na Vikosi Vingine vya Usalama

    Anachosema jamaa hapo juu kina ukweli lakn si asilimia mia. Kwa ninavyofahamu mimi hasa kwa upande wa Magereza ni kwamba wanachanganya, namaanisha kuwa JKT kiasi huwepo, fom 4, form 6 na graduate mbalimbali lakini si kwamba wote lazima wawe ni JKT.
  2. D

    Sijui kuingia kwenye chatroom ya Jamii nisaidieni

    wakuu wa JF niaje popote mlipo? nimerudi baada ya kalikizo ka muda mrefu bila ya kupatikana katika discussion yetu ya JF.
  3. D

    help

    Habari za muda huu ndugu zangu JFC? Naombeni mnisaidie computer yangu ina tatizo la kutorestart. Mwanzo kabla sijaiformat ilikuwa inauwezo wa kurestart lakini kwa sasa nikiishutdown au nikiizima kwa muda huo haiwezi kuwaka mpaka ikae muda muda fulni ndipo itaanza kuboot
  4. D

    CMOS/BIOS Password Removal

    habari za muda huu wakuu? nauliza nitawezaje kutoa password katika bios/cmos
Back
Top Bottom