Search results

  1. Sokoine2

    Huawei mpyaaa!

    Niletee mbeya nikupe hiyo pesa!
  2. Sokoine2

    Nauza simu ya TECNO H6

    Hata Tigo shop wanauza bei hii hiyo ya 200 imetoka wapi?
  3. Sokoine2

    Simu inauzwa aina ya Tecno H5

    Nipo mbeya nahitaji simu ya bajeti hiyo!
  4. Sokoine2

    Nahitaji smartphone bei yangu ni 100,000/=

    Kwa bajeti hiyohiyo kama uko mbeya na una simu unaiuza tuwasiliane!
  5. Sokoine2

    Sakata la ESCROW bado bichi: Dk. Slaa anasa mawasiliano ya James Rugemalira na Mkuu

    Alieingiza nchini hilo kontena ndie mwenye mamlaka ya kulikamata, unaona inawezekana alikamate? Na kwa taarifa kuna afisa TRA tunduma aliwajibishwa na kuhamishwa kituo cha kazi kwa kosa la kutoa siri! Kama ilikuwa uongo kwa nn awajibishwe! Siri gani hiyo? Tumia akili sio masaburi!
  6. Sokoine2

    Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

    Matokeo ya uchaguzi uliofanyika jana kijiji cha utyego kata ya ubaruku cdm wameshinda 100% yaani wenyeviti wote pamoja na wajumbe wote. Uchaguzi haukufanyika jumapili sababu ya dosari mbalimbali zilizokuwepo!
  7. Sokoine2

    Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

    Ni kweli nimewasiliana na ndugu zangu wapo pale wamesema cdm imeshinda!
  8. Sokoine2

    Kashfa ya escrow sasa CCM anayebaki msafi ni Mheshimiwa Wassira tu

    Siipendi ccm na watu wake wote na ni kweli Mwandosya hana kashfa sawa na wengine ila sabab yupo kwa mafisadi na yy takataka!
  9. Sokoine2

    Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

    Kata ya ubaruku mbarali kijiji cha majengo na vitongoji vyote cdm, kijiji cha mpakani, mkombwe na Tagamenda(mbarali) cdm imepeta na ss zinaendelea kuhesabiwa kura kijiji cha ubaruku na kuna baadhi ya mitaa imechukuliwa na cdm! Kwa upande wa mji mdogo Rujewa ukawa wana mitaa zaidi ya 8 ambapo...
  10. Sokoine2

    Waliochukizwa na mapingamizi wateketeza nyumba ya Mwenyekiti wa CCM Karagwe, hali ni tete

    Mahongole mbarali ofisi ya kijiji imechomwa moto sabab ni ccm kumwekea pingamizi mgombea wa cdm siku 2 kabla ya uchaguzi!
  11. Sokoine2

    Vodafone v785 unlock bure 10 first & mobile flashing course

    Please mkuu, saidia huawei y330 ya tigo kama nilivyoomba hapo juu!
  12. Sokoine2

    Vodafone v785 unlock bure 10 first & mobile flashing course

    Msaada mkuu, Huawei y330! IMEI 860557022099541 s/n A4S4C14914004447
  13. Sokoine2

    Vodafone v785 unlock bure 10 first & mobile flashing course

    Ni kweli mkuu, mi mwenyewe sijaelewa hapo aliposema smartphone za tigo na mm nina huawei ya tigo!
  14. Sokoine2

    Nataka Niuziwe Kitabu Cha Mdunguaji Au Mkimbizi (Used)

    Mkimbizi tsh 10000 nipo mbeya!
  15. Sokoine2

    Natafuta pikipiki used kwa tsh 800,000 tu

    Mkuu nitakutafuta j4 kama ratiba itakaa vizuri!
  16. Sokoine2

    Natafuta pikipiki used kwa tsh 800,000 tu

    Nami nahitaji Moja, weka namba za simu basi!
  17. Sokoine2

    Msaada wa simu

    Umefafanua kama nilivyofundishwa na mwalimu wangu lazima hapa ataelewa!
  18. Sokoine2

    UKAWA waumbuka Dodoma, Akidi yapatikana bila ya wabunge walio nje ya Ukumbi

    Mtaa gani upo tuje tuthibitishe? Hivi ukiwa ccm inabidi utumie masaburi kufikiri!
  19. Sokoine2

    Hongereni sana serikali sikivu ya CCM

    Hongera sana cccccccccccccm kwa maisha bora kwa kila mwana ccccccm mwenye cheo na njaa kali kwa kila mlala hoi hata kama ni mwanaccm!
Back
Top Bottom