Search results

  1. K

    Tanesco Morogoro umeme kukatika na same story kila siku

    Habari za Usiku wapendwa wateja wetu,Tunaomba radhi kwa kukosekana huduma ya Umeme Maeneo yanayotumia laini ya Tungi/Kilosa /Mzinga : Bado tea inaendelea na Juhudi za kurejesha huduma katika Maeneo yanayotumia laini hizo. kwasasa Maeneo ya...
  2. K

    Tumpende na kumheshimu Rais wetu Mama Samia

    Wapendwa watanzania wenzangu, nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ( salamu maalum aliyoiasisi Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan na ambayo kiitikio ni "Kazi iendelee"). Mimi huwa napenda sana jinsi Malkia wa Uingereza (kwa sasa Qween Elizabeth) anavyopendwa na kuheshimiwa...
  3. K

    Bei ya mafuta kupanda kiasi hiki inasababishwa na nini, na kwanini mamlaka zipo kimya?

    Wapendwa humu JF bila shaka mtakubaliana nami kwamba kwa miezi kadhaa bei ya mafuta ya petroli na dizel imeendelea kupaa tu hapa Tanzania. Kwa baadhi ya maeneo bei imefika hadi 2,700-2,800 kwa lita moja. Natamani kujua sababu ya bei kwenda juu kiasi hicho, na upandaji huo kuendelea bila...
  4. K

    Bank ya NBC mnazingua sana Simbanking Badilikeni

    Mimi nimekuwa mteja wa hii Bank ya NBC muda mrefu ila very soon nitasepa kama hali itaendelea hivi. Sim banking unaweza kujaribu mara kibao hufanikiwi. Saa ingine mtu una dharura , hela kwenye account unazo ila hazikusaidii. Badilikeni NBC.
  5. K

    TANESCO Morogoro kila siku umeme kukatika, kwanini?

    Kama tujuavyo, bila nishati ya umeme shughuli nyingi zinakwama. Umeme kukatika siku nzima ni hasara kubwa sana kwa Taifa. Leo Morogoro hakuna umeme tangu asubuhi hadi sasa. Namna hii uchumi wa mkoa na wa watu binafsi unaathirika sana. Inawezekana umeme haukatwi makusudi ila kama kuna hitilafu...
  6. K

    Tanesco Morogoro kila mara ni kuomba radhi tu?

    SHIKRIKA LA UMEME TANZANIA TANESCO MKOA WA MOROGORO. TAARIFA YA KUOMBA RADHI KUKOSEKANA KWA HUDUMA YA UMEME BAADHI YA MAENEO YA MKOA WA MOROGORO. Shirika la umeme Tanesco linaomba radhi wateja wetu wanaotumia laini ya Tungia,Mzinga,Kilosa,Mikese kwa kukosa huduma ya Umeme usiku wa kuamkia leo...
  7. K

    TANESCO Morogoro mbona kila siku umeme hakuna kwa muda mrefu?

    TANESCO Morogoro kwa kukatika huku umeme kila siku kwa masaa mengi mjitafakari. Nadhani Mh. Rais Magufuli hajagundua upuuzi huu ila soon atagundua na mtalia na kusaga meno pale mtakapotumbuliwa! Kila siku umeme lazima ukatike na hakuna taarifa yoyote inayotolewa kwa umma. Wananchi wanateseka...
  8. K

    My take on the just ended General Election in Tanzania

    Ab initial, we all expected that CCM, given its incumbency advantage and the perfomance of the current President would win the election. We all expected that President Magufuli would win the presidential post. We also expected that CCM would win the majority of parliamentary seats. However...
  9. K

    Does Normal Distribution Curve apply in Elections too?

    My take on the just ended general elections in Tanzania: Ab initial, we all expected that CCM, given its incumbency advantage and the perfomance of the current President would win the election. We all expected that President Magufuli would win the presidential post. We also expected that CCM...
  10. K

    Msg usiandike kizeezee utakosa warembo wewe

    Kinachokukosesha mademu ni mameseji unaandika kizee blaza 😄😄😄 mfano mpenzi andika mpz , uko wapi andik uk wp, I love you andika I lv u, I miss you andika I mc u, sasa andika xaxa 😂😂😂😂😂
  11. K

    Nimegundua Kuwa na Marafiki ni by the way tu hakuna kati yao anasaidia chochote wakati wa dharura!!

    Wandugu mko salama salimini? Nimegundua marafiki tulio nao wengi ni marafiki pale tu kila kitu kikiwa ok yaani mnakunywa na kula navstori etc ila pata dharura ambayo inahitaji support yao yaani utashangaa!! Siku hazifanani, kuna siku unaamka huna cash ya kutosha , labda hela iko kwenye...
  12. K

    Je mifuko inayosemekana ni mbadala wa ile ya plastic ni rafiki kwa mazingira?

    Wakuu jukwaani humu naamini wote tumeshuhudia marufuku ya mifuko ya plastic na tunaiona mifuko iliyotapakaa madukani, sokoni nk ambayo inasemekana ni mbadala wa ile ya plastic. Je kuna uthibitisho wowote kitaalamu kuwa mifuko hii mipya ni rafiki kwa mazingira? Kila nikiiangalia napata wasiwasi...
  13. K

    Tanesco Watu watakufa Sinza hapa jamani nyaya ziko barabarani

    Wapendwa tusaidiane . Kuna nyaya za umeme zimekatika zimelala barabarani hapa Sinza A karibu na nice lodge zina moto na zinatoa cheche . Tumewapigia TANESCO Tangu saa kumi till now hawajaja . Tumejaribu kuzuia watoto na watu wengine wasipite hapo ila na sisi tumechoka tunaondoka. Mda si mrefu...
  14. K

    Kituko Makongo Juu, waweka msiba kumbe hajafariki

    Jambo la ajabu limetendeka Makongo juu, mgonjwa kapelekwa hospitali Mwananyamala juzi akalazwa. Walioenda kumjulia hali jana asubuhi wakarudi wanalia kwamba mtu wetu kafariki. Taarifa zikasambaa ukawekwa msiba, maturubai, watu kibao tumelala msibani. Rambirambi zimechangwa. Ajabu asubuhi hii...
  15. K

    Kilio Mh Mbunge wetu Barabara ya Ardhi - Makongo ni kama twapita shambani!!

    Mh. Mbunge wetu Halima Mdee, barabara ya Ardhi - Makongo ina hali mbaya kupita maelezo, yaani ni mashimo tupu, yaani ni kama mtu unakatisha shamba fulani lililokuwa la viazi!! Mara kibao twasikia imetengewa hela kwenye budget ila haijengwi. Nahisi mwenye tender ya kuikarabati kwa kifusi mara...
  16. K

    Foleni ya kufa mtu Ubungo kwenda Kimara na Mbezi yaani balaa!

    Wakuu, Yaani msongamano uliopo saa hizi kutoka Ubungo kuelekea Kimara na mbezi hata mkeo au mumeo akirudi home kesho mwachie tu Mungu! Sijawahi kuona foleni hii!
  17. K

    Kila mahali wengi wanataka ukawa ishinde!!

    Ndugu zetu wa CCM ifike mahali mkubali hali ndiyo iko hivi. Yaani kila mahali, bar, grocery, saloon, watu wanataka UKAWA ishinde, utakuta anayetetea CCM ni mmoja au wawili na ukiwaangalia utakuta umri umeendaenda yaani wazee wazee hivi na mara nyingi wanahamaki na kuondoka penye mjadala! Lowassa...
  18. K

    Ee Mwenyezi Mungu, asante kwa Lowassa na Sumaye, sasa tunaomba utuletee Warioba!

    Haya yanayotokea ni mpango wa Mungu kuibadili nchi hii. Hawa waheshimiwa Lowassa na Sumaye ni watu wakubwa sana katika taifa hili.Mungu amewaleta huku, nyuma yao kuna mamilioni ya watu, hakika watatuboost sana. Sasa namuomba Mungu atuletee na Mh. Warioba... Wote tuitikie.....'Twakuomba utusikie'.
  19. K

    Kipenga kimeshalia, muda wa mabadiliko ni sasa, tuna siku 63 tu kuleta mabadiliko

    Ndugu wana JF hasa wanaUKAWA na wote tunaopenda mabadiliko kwa manufaa ya kizazi hiki na kizazi kijacho, Leo kipenga cha kampeni kimeshapigwa na NEC. Sasa kazi imeanza rasmi. Kila mmoja wetu ana wajibu wa kuhakikisha lengo la kuleta mabadiliko Tanzania linatimia kupitia UKAWA. Sasa kazi...
  20. K

    Hiki kisentensi kinanikera sana, nanyi wenzangu mwakereka?

    This forum requires that you wait 3 seconds between searches. Please try again in 3 seconds.Copyright JamiiForums.com Ukiingia JF they tell you this. Astonishingly wala husubiri sekunde 3 kweli. Inakaa hata robo saa!! Whoever is responsible, kindly do the needful!!
Back
Top Bottom