Search results

  1. B

    PICHA: Lipumba alivyofunika Tabora jana

    Kumbe CUF bado inatisha!
  2. B

    Kizungumkuti cha NECTA wanafunzi hawa hawakufanya mtihani kidato cha IV lakini wamefaulu!

    ''WAKATI mjadala wa matokeo mabaya ya kidato cha nne ukiendelea kulitikisa taifa, kashfa mpya ya matokeo hayo imeibuliwa. Kashfa hiyo mpya imeibuliwa na Mkurugenzi wa Shule ya Green Acres, Julian Bujugo, kwamba matokeo ya baadhi ya shule nchini ikiwamo yake yamechakachuliwa. Akizungumza na...
  3. B

    Wanaodaiwa kumuua Padri Mushi Wakamatwa...

    Naona sasa munkari utatulia kidogo maana magaidi wameshakamatwa!
  4. B

    Werema chupuchupu kutuingiza kwenye mzozo wa kidini

    Nyerere alikuwa akifikiri kuwa wazanzibar ndio watakaotengana kwa misingi ya ukabila. Ila aliisahau Tanganyika kwamba itagawika vipande vipande kwa misingi ya dini. Kadri siku zinavyokwenda ndio tunashuhudia ukweli wa hatari hii. Tusipokuwa makini, tuendako ni kubaya sana. Tuchukulie AG...
  5. B

    Nachingwea: Mabomu ya machozi yarindima mchana wa leo...

    Isikie hivo hivo tu vurugu, usiiombe.
  6. B

    Ben Saanane anavyoteseka na kivuli cha unafiki...

    Huyu BEN mtazamo wake ulikuwa kama wa Mapalala: alitaka kuazisha chama ndani ya chama.
  7. B

    Ben Saanane anavyoteseka na kivuli cha unafiki...

    Binaadamu yeyote anaweza kubadilika wakati wowote. Lakini hizi taarifa hapa ni porojo tu, zinaendana kinyume na muonekano halisi wa mambo ambayo ZITTO amekuwa akiyasimamia. Kama angekuwa pandikizi kwa namna yoyote ile, asingeweza kuishika serikali namna ile mpaka baraza la mawaziri likavunjwa...
  8. B

    Juu ya tuhuma kwa Zitto na kundi lake kutoka kwa Mamuya...

    Na wewe unaonekana kuwa mmoja kati yao maprofessor wa kiafrica. Unaaminije kila kinachosemwa bila hata ya ushahidi? Hoja za Zitto zimeipaisha CDM na kuiweka rehani serikali ya CCM. Kosa moja la ZITTO ambalo hadi sasa limeiathiri nchii ni lipi kwa mtazamo wako? Mtazamo wangu ni kwamba tangu...
  9. B

    Ben Saanane anavyoteseka na kivuli cha unafiki...

    Hoja za ZITTO zilitaka kuangusha serikal ya CCM. Leo unataka tuamini yeye hafai anafaa BEN? Ni wabaguzi na wapenda vyeo tu watakaokubali hizi kashfa dhidi ya ZITTO.
  10. B

    Ben Saanane anavyoteseka na kivuli cha unafiki...

    Slaa hajajibu shutuma ipi? Ninavyojua hakuna hata shutuma moja ambayo DR SLAA hajaijibu. Labda utuwekee mojawapo tu unayoijua wewe. Ukishindwa kuitaja nadhani utakuwa umeshapata jibu kuwa hawezi kuwa Rais wa Jamhuri.
  11. B

    Juu ya tuhuma kwa Zitto na kundi lake kutoka kwa Mamuya...

    Huo msemo tulishaukamilisha jana! CHADEMA inahitaji REORGANIZATION ili isife. Kinyume chake kifo chake is just a matter of time. Uongozi wa CHADEMA umeshikwa na watu wasio na sifa ambao wanahisi sasa security ya kazi zao ziko mashakani baada ya wasomi kuingia na kutaka mabadiliko. Badala ya ku...
  12. B

    Ben Saanane anavyoteseka na kivuli cha unafiki...

    ZITTO anatamani kuingia JF kujibu kashfa, wenye busara wanamzuia wanamwambia chama kitasambaratika. ZITTO anawaambia vijana wananihsaribia na wameshanichafua, wenye busara wanamwambia vumilia kwani ukubwa ni dawa. ZITTO anawaambia taswira yangu kwa jamii nisipojibu itakuwa imechafuka...
  13. B

    Ben Saanane anavyoteseka na kivuli cha unafiki...

    Neno kizee hapo ni general term, likimaanisha busara za watu wazima. DR Slaa anaonesha mapungufu katika uongozi. Hili limeigharimu na litaigharimu CHADEMA.
  14. B

    Juu ya tuhuma kwa Zitto na kundi lake kutoka kwa Mamuya...

    DR anahisi yeye ni beneficiiary wa hizi vurugu which is the opposite. Motion inayokuja CHADEMA: ''Katibu mkuu (dr Slaa) ameshindwa kukiendesha chama ajiuzulu''
  15. B

    Ben Saanane anavyoteseka na kivuli cha unafiki...

    Wewe kama ni kiongozi ndani ya CDM basi ni hasara kwa chama. BEN anajenga chama kwa domo wakati ZITTO anakijenga chama na nchi yake kwa vitendo. Tatizo lako Tuntufye ni kuwa ulishakuwa na 'pretext' nyuma ya ubongo kuhusu ZITTO. Kama Zitto angetaka kuuwa chama na nyie CDM mnajua angekuwa...
  16. B

    Ben Saanane anavyoteseka na kivuli cha unafiki...

    Tatizo la hawa vijana ni wazee. Hawana MENTORS wenye busara.
  17. B

    Ben Saanane anavyoteseka na kivuli cha unafiki...

    Topic Information There are currently 404 users browsing this thread. (233 members and 171 guests) kfatherd, Mr. Bigman, Soki, agwedegwede, Dr.W.Slaa,----- Nasikitika kusema kwamba huyu mzee wangu ana matatizo na hawezi uongozi. Alishindwa nini na anashindwa nini kuwasihi wana CHADEMA...
  18. B

    Juu ya tuhuma kwa Zitto na kundi lake kutoka kwa Mamuya...

    CHADEMA kuna makundi kwa uchache kama manne hivi: 1) Waanzilishi na wakuja - Mbowe and the like ambao wanahisi wanahitaji power monopoly. Ukitaka kujua hili, jaribu kuweka safu ya uongozi halafu asiwepo Mbowe, DR Slaa. 2) Wenye mawazo ya kikanda na mawazo ya kitaifa: Hawa hajioneshi...
  19. B

    Juu ya tuhuma kwa Zitto na kundi lake kutoka kwa Mamuya...

    Hivi hiyo message ya Ben Saanane hamuisomi vizuri, mnaangalia kwenye neno ZITTO tu? Kwa mujibu wa data kutoka ndani ya CDM na Ben pamoja na Yericko, safu yote ya CDM ni vibaraka wa chama tawal: 1) DR Slaa amegoma kurudisha kadi ya CCM kwa vile anataka kutumia kadi yake ile ile akirudi. 2)...
Back
Top Bottom