Mkuu ingia google tafuta app inaitwa Mob dro,download na install kuna sports channel za kutosha utapata ona mpira bila shida.
Angalizo usidownload toka play store inazingua, ichote google moja kwa moja.
Hapana wakati huu watu wengi walifanya online registration, na ndo walopata kipaumbele katika kupewa namba, ila pia nimekimbia tu just for funny, nimemaliza 21km japo bila medani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.