Search results

  1. J

    Mkuu wa wilaya ya Songea anamiliki heka 100 za mahindi.Je,huu sio ufisadi?

    Hata mimi ninatafuta kumiliki ekari 100 au zaidi kihalali, maana siyo kosa kama zimepatikana kihalali.
  2. J

    Kwanini Dr. Slaa hapendi kuhudhuria mazishi ya wasanii wetu?

    Kwa nini JK na wenzake ndani ya ccm wanahudhuria misiba ya wasanii tu? kwani wengine wanaokufa siyowatanzania? au wasanii ndio watu muhimu zaidi kwake na kwa ccm?
  3. J

    Msaada,kitovu kumdondokea mtoto mchanga

    Imani potofu hizo, hakuna uhusiano wowote hapo.
  4. J

    Je wajua kirefu cha moshi na kwa nini wachaga iko pesa, soma hapa

    Tusifanye mizaha na jina la Mungu wetu hivi! Kumbuke, usilitaje jina la Bwana Mungu wako bure maana......
  5. J

    Biashara ya kujiuza mwili yapewa nafasi kubwa Tanzania

    NIMEKOMA naona umekoma kweli.
  6. J

    Madaktari walioshiriki mgomo.

    Wiki iliyopita nilisoma kwenye gazeti la nipashe kuhusu kuanza kuhojiwa kwa madaktari walioshiriki kwenye mgomo na hatimaye kusitishiwa usajili na walisema wanaanzia Mbeya. Naomba mwenye updates ya kilichojiri na kinachoendelea mpaka sasa atujuze.
  7. J

    Madaktari walioshiriki mgomo.

    Wiki iliyopita nilisoma kwenye gazeti la nipashe kuwa baraza la madaktari linaanza kuwahoji madaktari walioshiriki kwenye mgomo na baadaye kusitishiwa usajili na ilielezwa kuwa wanaanzia Mbeya.Naomba mwenye updates atufahamishe kilichoendelea au kinachoendelea hadi sasa.
  8. J

    Yanga muiache simba ipumue

    pole sana ndugu ila ombi lako halikubaliki hata kidogo, kilichopo ni kukaza zaidi mpaka kitakapoeleweka. Daima mbele, nyuma mwiko.
  9. J

    Wito kwa waislam wote tanzania. Tushikamane ijumaa hii

    Mwenye ufahamu wa kutosha hawezi kuunga mkono uchochezi wa wazi kama huu.
  10. J

    Wapinzani Malawi :Nchi Imemshinda Rais Joiyce Banda !!!!!

    Nawaunga mkono hao wapinzani wa Malawi, huyu mama nchi imemshinda kabisa. Anategemea fadhila za wazungu kwa kila kitu na asipobadilika atailetea nchin yake matatizo makubwa.
  11. J

    HOJA MBADALA: Tuhamasishe CCM imsimamishe Membe 2015?

    Lowasa ndiye pekee ndani ya ccm ambaye anaweza kutumainiwa kidogo na mwenye uwezo wa kusimamia kile anachoamini kama kiongozi(vision). Hakuna mwingine wa kulingana naye ndani ya ccm japo hataweza kushinda kwa CDM 2015.
  12. J

    Kumbe Degree haisaidii ku win Life???

    Kwenda chuo kikuu muhimu sana ndugu, fanya bidii na we upate degree ili ufanye mambo yako kwa ufanisi zaidi. Wapo wengi waliopitia chuo kikuu na mambo yao yametulia sana.
  13. J

    Hivi shekh Ponda anwakilisha kundi gani la waislamu?

    Habari wana jf. Nimekuwa napata shida kumwelewa huyu anayeitwa sheikh ponda, hivi anawakilisha kundi gani la waislamu? Amekuwa akiendesha mapambano dhidi ya BAKWATA, SERIKALI NA SASA WAKRISTO, Yeye ni alqida, al shabab, boko haram au ni nani hasa?. Na kwa nini anaendesha harakati zake bila...
  14. J

    Vurugu za Kidini Mbagala: Mtoto akojolea msahafu baada ya kuthubutishwa; makanisa yachomwa

    Hapo ililkuwa ni swala la kuthibitisha kile anachoamini kila mmoja wao. Aliyeshindwa kuthibitisha imani yake ni vema akabidili imani na kuungana na huyo mwenzake kwa sababu ukweli ameuona. Hakuna sababu ya kuleta hali ya sintofahamu.
  15. J

    Duka la Dawa Muhimu za Binadamu (Pharmacy): Utaratibu wa Kufuata na Mtaji wa Kuanzisha Biashara

    Naomba mwenye uzoefu na utaalamu wa biashara ya duka la dawa anisaidie, nataka kuanzisha hii biashara.
  16. J

    Kuchangia harusi au maendeleo?

    mi nilioa bila mchango wa mtu, anayeoa/olewa ajipange mwenyewe mapema kwani si dharura.
  17. J

    hivi kwanini madokta story zao ni pombe na hela tu (mishara juu)

    Huna point na hujui unachozungumza, better u keep quiet.
  18. J

    Mchumba wangu anatoka na baba yake mzazi, nifanyeje?

    achana naye, ni uchafu usiovumilika na hata ukimuoa ataendelea tu. chukua tahadhari mapema.
Back
Top Bottom